

huduma ya kwanza kwa kuanguka

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haki ya Mungu mimi sijui , hivi Lowassa ni waziri mkuu MSTAAFU au ALIYEJIHUDHURU cheo kipi ni haki kukitamka tunapomtaja Sumaye , na Lowassa ,napata shida kwelikweli
ReplyDeletenisaidieni
Abbasi Kashindye
Singida
Hello, Kwa kiswahili sanifu Lowasa ni waziri mkuu mjiudhuru. Any way, hapa Ughaibuni kuna habari zimetufikia kupitia baadhi ya mitandao ya kibongo kuwa Mh JK Kikwete amejiuzulu kugombea urais kwa ticket ya CCM, Kuwa Jumanne NECC ya ccm inakuatana kuteua mgombea wao mpya wa urais. Je hii ina ukweli gani wana jamvi..???!!.
ReplyDeletemdau wa pili kama ni kweli bubu ataongea
ReplyDeleteKwa tuliyeishi maisha ya KOTAZ, wanachokifanya CCM ni sawa na kupeta mchele ili watu wajue kuwa watapika ubwabwa lakini ukweli ni kwamba wanarudisha huo mchele na kusonga ugali cku hiyo. CCM ina wenyewe, cyo mimi na yule
ReplyDeletehivi kweli watanzania sisi ni watoto wanaodanganywa kama wajinga hanapozungumzia kupambana na rushwa =0 ulinzi wa mali =0 rushwa ni kama 90% kwa sasa na hakuna mtu alie kamatwa mr president please don`t ninandugu TRA kwa muda wa mwaka wamesha jenga nyumba kama tatu dar na magari kama 2 kwa mke na yake baa kila jioni si chini ya sh 60 elf na mshahala wake si zaidi laki tatu mali yake kwa sasa more than 80 mili kwa mda wa kazi mshahala wake haufiki milioni 17 sasa hiyo rushwa hanayosema ni hipi tanzania hamkeni
ReplyDeleteAnkal kwa kubana....! unahisi mshikaji atachukua 2015?( mamvi) unaogopa atakuweka alama? bora hivyo....kunguru muoga...............!
ReplyDeleteMtoto wa Shangazi yako.