Marlaw na kundi lake wakifanya vitu vyao ambapo ule wimbo wa pipi umepigwa remix na kuw ccm ccm ccm..
JK akimalizia hotuba yake baada ya kurejea kupata
huduma ya kwanza kwa kuanguka
Mgombea mwenza Dk Mohamed Ghalib Bilal akihutubia
Rais wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akitia ubani uzinduzi huo
JK akiondoka baada ya kuzindua kampeni
Msafara wa JK ukiondoka jangwani
Sehemu ya umati wa watu uliofika jangwani leo
Rais wa Zanzibar Dk Karume na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa wakiondoka
Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mh. Benjamin Mkapa (nyuma mwenye kapelo ya kijani) wakiondoka
Mgombea mwenza Dk Mohamed Ghalib Bilal akiondoka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Haki ya Mungu mimi sijui , hivi Lowassa ni waziri mkuu MSTAAFU au ALIYEJIHUDHURU cheo kipi ni haki kukitamka tunapomtaja Sumaye , na Lowassa ,napata shida kwelikweli
    nisaidieni
    Abbasi Kashindye
    Singida

    ReplyDelete
  2. Hello, Kwa kiswahili sanifu Lowasa ni waziri mkuu mjiudhuru. Any way, hapa Ughaibuni kuna habari zimetufikia kupitia baadhi ya mitandao ya kibongo kuwa Mh JK Kikwete amejiuzulu kugombea urais kwa ticket ya CCM, Kuwa Jumanne NECC ya ccm inakuatana kuteua mgombea wao mpya wa urais. Je hii ina ukweli gani wana jamvi..???!!.

    ReplyDelete
  3. mdau wa pili kama ni kweli bubu ataongea

    ReplyDelete
  4. Kwa tuliyeishi maisha ya KOTAZ, wanachokifanya CCM ni sawa na kupeta mchele ili watu wajue kuwa watapika ubwabwa lakini ukweli ni kwamba wanarudisha huo mchele na kusonga ugali cku hiyo. CCM ina wenyewe, cyo mimi na yule

    ReplyDelete
  5. hivi kweli watanzania sisi ni watoto wanaodanganywa kama wajinga hanapozungumzia kupambana na rushwa =0 ulinzi wa mali =0 rushwa ni kama 90% kwa sasa na hakuna mtu alie kamatwa mr president please don`t ninandugu TRA kwa muda wa mwaka wamesha jenga nyumba kama tatu dar na magari kama 2 kwa mke na yake baa kila jioni si chini ya sh 60 elf na mshahala wake si zaidi laki tatu mali yake kwa sasa more than 80 mili kwa mda wa kazi mshahala wake haufiki milioni 17 sasa hiyo rushwa hanayosema ni hipi tanzania hamkeni

    ReplyDelete
  6. Ankal kwa kubana....! unahisi mshikaji atachukua 2015?( mamvi) unaogopa atakuweka alama? bora hivyo....kunguru muoga...............!
    Mtoto wa Shangazi yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...