kwa picha zaidi za mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Chadema leo
BOFYA HAPA.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
walau leo ankal umeanza kuwa fear baada ya wasomaji wa blog yako kuanza kukupigia kelele kila siku. sasa nitaendelea kusoma habari zako.
ReplyDeleteJaribu kuwa unabalance news. Just do fair play kwa vyama vyote. Tunakujua kwamba wewe ni mwandish wa gazeti la serikali lakini isiwe sababu ya kukiuka maadili ya uandishi wa habari
Tanzania demokrasia inawezekana natutafika tu!
ReplyDeleteHongera na kwa kweli nakupongeza kwani unatufanya tulio ughaibuni kuona mambo hapo nyumbani. Ila jaribu kuufanya huu mtandao uwe wa uhakika kwa kutumia kiswahili. Post a comment nadhani ina kiswahili chake na baadhi ya maneno mengine. Kuna yale ambayo huwezi epuka kiingereza ntakuelewa.
ReplyDeleteovyo hamna jipya hapo!!CCM oyeeee
ReplyDeletenyie CHAga DEvelopment MAnifesto,hebu muungeni mkono lipumba tende ikulu,au kwa sababu mmepewa milioni mia na chichiem ndo mnaharibu kura za upinzani makusudi.
ReplyDeleteKwani akiwa mwaandishi wa habari wa serikali ndio anaruhusiwa kutokua fair? kwani serikali ina chama? Ni kutojua kufnay akzi na kwa vile yeye ni CCM ndi maana anaoha hata taaabu kuweka balanced news. Kaona watu wanapungua kufungu blog yalke kwa siku ndio anaamka...
ReplyDeleteAsiyesikia la mkuu.....
mbona hujaonesha hadhira uncle? au dr. Slaa alikua anahutubia jukwaa? coome on uncle! ni maoni tu!
ReplyDeleteUnafanya vema Michuzi kukusanya habari za vyama vyote na kuzianika. Wasomaji wengine tulianza kuwa na wasiwasi kwamba nawe ni mwanachama wa chama cha mafisadi labda.
ReplyDeleteSiamini macho yangu. Yaani Michuzi umeweka habari ya CHADEMA na CUF? Au mtu kakuwekea kwa bahati mbaya? Maana ukweli ni kwamba ukoo wote wa Michuzi kuanzia wewe, Junior mpaka yule dogo wa mtaa kwa mtaa mnaweka CCM tu kwenye blogs zenu. Ama kweli mwezi mtukufu umeanza.
ReplyDeleteMh. Michuzi tunaomba na picha za uzinduzi wa NCCR-MAGEUZI huko Morogoro tafadhali.
ReplyDeleteHONGERA KWA KUANZA KUTOA MATUKIO YA CHADEMA,CUF nk,
ReplyDeleteILA MBONA HAUONESHI UMATI WA WATU
WALIVYOFURIKA JANGWANI KTK MKUTANO
HUO WA CHADEMA ?
AU UNATAKA KUONESHA KUWA HAPAKUWA NA WATU WENGI ?
FANYA KAMA UNAVYOTOA UMATI WA CCM,
USIWE BIASED KIASI HICHO, TENDA HAKI, KUMBUKA MWEZI MTUKUFU HUU !
Wewe Dr Slaa mwenzio JK kajenga wewe umeamua ndani ya siku 100 utabomoa. He! Ama kweli kubomoa ni rahisi kuliko kujenga. Kura yangu sikupi. No.
ReplyDeleteNa wewe Tundu Lissu na Marando you are a disgrace to the legal fraternity. Unaamuaje kuwa jaji jukwaani kwa kudai kuwa JK kaiba fedha! Hivi kweli nyinyi mnjaua sheria? Shame on you all !!!
blog hii mmmh!
ReplyDeleteJamani the look also matters, I am not a fashionista but the CHADEMA uniform or colors or whatever you call it is just not so attractive in short ugly!
ReplyDelete