Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UN, DK.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Kati ni Profesa Cleohas Migiro, mume wa Dk. Asha-Rose Migiro. Picha na mdau Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. udaktari feki kwa nini unafagiliwa sana? Kama mnaupenda si mkasome jamani.

    ReplyDelete
  2. michuzi hawa ni madaktari wa nini? kwa maana hata mzee wangu alikuwa anajiita Daktari kumbe kwa kuwa alikuwa anategemewa kwa uongo katika chama, na alikuwa anategemea kuwa hawezi toka katika uongozi kwa kuwa wakubwa walikuwa wanamtega kama ngazi wao wanapanda yeye kwa sasa kapigwa chini.

    tuambie udaktari wao????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...