Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wagombea wa Viti vya Ubunge, Uwakilishi na Udiwani pamoja na Wananchi mbalimbali katika ukumbi wa salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar leo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wananachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Zanzibar, baada ya kuwahutubia kwenye mkutano wa Hadhara uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.Wagombea wa Viti vya Ubunge, Uwakilishi, Udiwani pamoja na Wananchi mbalimbali wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Hadhara katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar leo.

(Amour Nassor -VPO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...