Home
Unlabelled
Dr. Shein arudisha fomu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo picha ya kwanza mnaona tofauri jamani. Gari kubwa, msafara mkubwa, ulinzi wa gharama, mapikipiki, nk lakini pembeni ya gari nyumba ya mbavu za mbwa. Picha yenyewe tu ni kielelezo cha ufujaji wa hela za walipa kodi kwa kampeni wakati watu wana umaskini mkubwa. Lakini bado viongozi wanaona sawa na watu wanashangilia tu na kuona sawa kama mazuzu
ReplyDeletehi!hi! naona ras makunja na gitaa akiwa pembezoni mwa gari la Dr.Sheini,si mchezo mpaka pamba aka gwanda kapewa mpya,viatu vipya
ReplyDeleteMbona picha za wagombea wengine unazibania Michu?
ReplyDeletemikwara hoyo hiyo ya nini !! kwani hamuwezi rudisha hizo form kikawaida tu !
ReplyDeleteHiyo gari kwenye picha ya kwanza haiendani kabisa na mazingira yanayoizunguka.
ReplyDeleteAma kweli watanzania hatuna la kufanya! umati wote huo umeacha kazi zao kwa nini? mtu mmoja tu kupeleka maombi ya kuwania urais!
ReplyDeleteLaiti watanzania na viongozi wake wangelikuwa wanapitisha jitihada na kujituma namna kama hii jua na mvua naamini tanzania tungelikuwa na maendeleo makubwa mno.
Mamilioni ya pesa za uma zinatumika kwa shuhuli hizi na wananchi wako radhi na kufurahia, hivi kweli kuna haja ya yote haya? ona magari ya serikali na ulinzi mkali! ni kiasi gani hapo kimetumika!
Ama kweli Tanzania tambarare.
wakati kama huu si ingekuwa vizuri kama kiongozi angechukua fursa ya kutembea na wananchi ktk harakati za kuomba kura zao badala ya kukaa kwenye gari kama vile wanasindikiza jeneza. Samahani kwa mfano wangu.
ReplyDeleteUnajua ni kama cult vile ukishaingia humo kila kinachosema kwako ni yes sir, yes sir...We uliona yule leader wa Mormon aliokua anakula vizuri na kuchukua mali na wake za wale watu wengine? Unajiuliza wale watu walikua wamevurugwa akili au ni nini? Ndio hayo nchi watu wamechoka lakini wako so happy wakiona viongozi wao wanapeta tu na magari na maisha mazuri...Wakilala na njaa sawa, wakishindwa kusomesha watoto wao sawa, shule zikiwa hazina kitu sawa....
ReplyDelete