JAJI MKUU WA TANZANIA MH AUGUSTINO RAMADHANI (WA PILI SHOTO) AKIZINDUA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO WA UBORSHAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI ARUSHA WIKIENDI HII.
JAJI MKUU WAKIWA NA MAJAJI MBALIMBALI WA MAHAKAMA HIYO NA WADAU WENGINE WA TASNIA YA SHERIA KATIKA NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI. PICHA NA NOVATUS MAKUNGA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...