Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt Jakaya Kikwete akipokea rasmi fomu ya kugombea kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame jijini Dar leo
JK na mgombea mwenza Dk. Mohamed Ghalib Bilali wakionesha fomu zao baada ya kutoka nje ya ofisi ya Tume ya Uchaguzi jijini Dar leo




Jk nakupongeza kwa umakini wako na kuwajali wapinzani,nimesoma ujumbe ulomtumia dr slaa kuumia mkono,nimeona pro lipumba navyokutukana kwenye majukwaa lakini mkikutana mnacheka na kufurahi,hiyo ndo sisa kukomaa hakuna uadui,sasa hawa chadema sijui wanatuletea siasa za wapi,wanafanya siasa uadui na kutaka kupanda chuki kwa wananchi,nimefurawi TLP walivyowajibu baada mbowe kusema mrema ni kibaraka wa ccm kwa sababu anamsifia kikwete,sasa mrema anawauliza zile milioni mia mlopewa na kada wa ccm na nyie mmekuwa vibaraka wa ccm,au zito kumsifia kikwete kwa kazi nzuri aloifanya kigoma ni zito kawa kibaraka,siasa sio chuki,chadema plz,hatutaki mambo yalotokea pemba 2001
ReplyDeleteWawe tu fair, na CHADEMA tutakwenda kuchukua fomu kwa kishindo, kwa msafara na maandamano makubwa sana, wasijesema sisi tutahatarisha amani na ni maandamano yasiyo halali na kibali wakati wao wenye dola wameenda kwa mbwembwe namna hii kiulainiii...Mh Zito au Mnyika tupe ratiba.
ReplyDeletePamoja na UMASKINI wote huu bado watu wanakusanyika na kusikiliza siasa kweli MUNGU tuonee huruma wadanganyika !!
ReplyDeletekila hatua ni sherehe na hotuba, foleni leo dar hadi kero.kutangaza nia maandamano,kuchukuwa fomu maandamano,kujaza fomu sherehe, kurejeshsha sherehe!hivi hatuwezi fupisha haya mambo tuendelee na uzalishaji? na wewe misupu jana wagombea watatu wamechukuwa fomu mbona siwaoni humu?
ReplyDeletejamani hizi habari za kuelekea uchaguzi ebu zitengewe faili maalum. manake kampeni bado lakini tushachoka.
ReplyDeletewe niambie kama hao wa bumbuli nani anatumia mtandao?
acha kumwita kikwete dokta unafanya watu waangalie elimu yake na unajua watachokikuta huko.
ReplyDeleteDkt Kikwete? Acha bwana unatuharibia taaluma yetu huyo, i "dissertation" yake ipo wapi tuisome.
ReplyDeleteInakuwaje Bilali ni mgombea mwenza wa JK? si huyu tayari ni mgombea mwenza wa shein kwa serikali ya zanzibar?
ReplyDeleteMichuzi huwa na kwikwi saingine. Bora uende vekesheni. Vekesheni yangu nakuja bongo kupiga kura. Ubalozi wetu eti huwezi kupiga kura..Bongo bwana, basi tu.
ReplyDeleteAnony wa Aug 02, 08:20 pm Bilal aliangushwa katika kinyang'nyiro cha urais znz hivo JK akamtetua kuwa mgombea mwenza.. hufwatilii habari??
ReplyDeleteGo JK! kama maneno hata kwenye kanga yapo, kwenye makaratasi yamejaa kuanzia magazetini mpaka vitabuni, na hata kwenye keki pia yanaandikwa na tunayala herufi moja moja. Kwa hiyo usitishwe na maneno yao, ushindi ni wako wacha waseme wee lakini tutawagalagaza mchangani hiyo octoba Inshaallah tuombe uzima!
ReplyDeleteMswahili
duh mswahili ur so funny.waambie
ReplyDeleteacheni majungu.kwani kama jk akiwa dr wa kupewa ndo nini,mbona slaa pia udokta wa kupewa tena na kanisa,mbona watu hawasemi,kama elimu ndo urais,basi tangu uhuru katika wote waloutaka urais ni pro lipumba peke yake ndo alitakiwa awe raisi toka uhuru,maana ni profesa wa uchumi.
ReplyDeleteAnon wa tarehe Mon Aug 02, 08:12:00 PM, na wewe unasema utumbo tu kwa kijigamba, "Dkt Kikwete? Acha bwana unatuharibia taaluma yetu huyo,i 'dissertation' yake ipo wapi tuisome."
ReplyDeleteSio kila doctorate inahitaji "dissertation", yaani PhD!
Katika fani ta elimu, kuna tofauti kati ya "doctorates" hizi:
PhD na Ed.D.
Hebu fungua: http://www.cedu.niu.edu/lepf/edpsych/PhD.PDF
"Doctorates" nyinginezo, kama za akina Julius Nyerere, Kikwete, Salim Ahmed Salim au za akina idi Amin, Karume, Mzindakaya na kadhalika, ni za kuzawadiwa tu!
Wengine hawastahili kabisa; wengine hupewa na vyuo visivyotambulikana au havina vibali vya kutoa hizo digrii!
Anon wa Tarehe Tue Aug 03, 05:35:00 PM.
ReplyDeleteWewe ndo uache majungu na kuandika vitu usivyovijua.. Nani amekwambia Udokta wa Slaa ni wakupewa na kanisa? Nyie ndo mnaoleta mfarakano wa kidini katika jamii ya Tanzania na watu kama nyie ni wa kuogopwa sana!!
Kama HUJUI NGOJA NIKWAMBIE ALIPOPATA UDOCKTA UYO UNAESEMA AMEPEWA NA KANISA MAANA NAONA INAKUUMA KWAMBA ALISOMESHWA NA KANISA LABDA!!!
Alipata PHD in Law At St. Urban University,Rome,1977,1981. Kama huamini kwamba alisoma na sio kupewa kama unavoropoka ingia kwenye icho chuo kwenye website yao na nenda kaangalie wote waliosoma PHD apo!!! Acheni chuki za kisiasa tuwe wakweli!!!