JK akiwashukuru kinamama wa Ngara ambao waliandaa futari kwa ajili ya msafara wake wa kampeni ulioingia usiku huu hapo mjini Ngara na kuhudhuriwa pia na wakaazi wengine wengi. Alikuwa akitokea Karagwe ambako kutwa nzima alipita sehemu mbalimbali kuomba kura na kunadi wagombea wa ubunge na udiwani. Baada ya Ngara ataelekea Kigoma
JK akiwashukuru kinamama wa Ngara ambao waliandaa futari kwa ajili ya msafara wake wa kampeni ulioingia usiku huu hapo mjini Ngara na kuhudhuriwa pia na wakaazi wengine wengi. Alikuwa akitokea Karagwe ambako kutwa nzima alipita sehemu mbalimbali kuomba kura na kunadi wagombea wa ubunge na udiwani. Baada ya Ngara ataelekea Kigoma


jk wewe ndio mgombea pekee usiye na udini wala ukabila ni bora uwa maskini kuliko kansa ya udini
ReplyDeletejk bado anafunga?mbona tunachanganyikiwa
ReplyDeleteCUF THE PLOBLEM UDINI!CHEDEMA THE PLOBLEM UKABILA NA UKASKAZINI,VIJIJINI 98% NI CCM
ReplyDeletekuitoa ccm madarakani itachukua miaka zaidi ya 100 kwani matajiri wote wapo ccm,vijana wasomi wote wanakimbilia ccm,karibu kila mtu maarufu hata watangazaji wote wanataka ccm
ReplyDeletehongera jk kwa miaka 5 iliyopita ya uongozi bora ,hongera kwa dodoma university!big up usisikilize longo longo za wachache hawaitakii mema bongo
ReplyDeleteanony hapo juu sure chama gani viongozi na wafuasi karibu wote dini moja hyo siyo tanzania ya mwl nyerere
ReplyDeleteHONGERA CCM HADI SASA TAYARI WABUNGE WENU 16 WAMESHINDA KABLA YA UCHAGUZI HAPO OCTOBER HIYO INATHIBITISHA KUWA CCM NI NAMBARI ONE TUNAMUOMBEA JK USHINDI WA TSUNAMI ILI TANZANIA TUENDELEE KUISHI KWA AMANI SIO KAMA SOMALIA KWANI AMANI NDIO MTAJI NAMBA MOJA HAPA DUNIANI,GOD BLESS JK,GOD BLESS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
ReplyDeleteUzuri wetu wabongo ni kutokuwa na kabila wala dini.Na kizuri kikubwa ni uwezo wetu wa kusahau mambo kwa kipindi kifupi.Kuna wengi walikuwa wanaipiga vita sisiemu na Jk miaka 2 iliyopita sasa wanadai sisiemu ni chama bora. Naamini baada ya mwaka mmoja wa awamu ya pili ya Jk wengi wanaoandika na kuisifia sisiemu na Jk watakuwa wanawapiga madongo na kuapa kutoifagilia ktk uchaguzi ujao.
ReplyDeleteMbona hutoa hoja yangu ndugu yangu, hizi ahadi anazotoa kila mara atatoa fedha wapi za kulipia vitu vyote hivyo? Ni swali rahisi tu, likini unaubavu wa kulipost?
ReplyDeleteKinacho ikwamisha hii nchi ni kukosa mawazo mbadala ya CCM, kila mtu CCM CCM, herd mentality...swimming in ignorance!
ReplyDeleteWatanzania popote pale mlipo mjue kuwa kuomba radhi ni kujidhalilisha kwa namna flani lakini ndio njia pekee waitumiayo wastaarabu katika kurudisha heshima iliyopotea!!Hakika kuyakana maneno yako mwenyewe uliyoyasema hadharani ni sawa na kuvaa chandarua ukidhani umejisetiri!!!Wafanyakazi 350,000 na ndugu na jamaa zenu hata mkigoma kwa miaka minane......Huko kungine simo!!
ReplyDeletewewe anoy hapo juu unayechanganyikiwa ni kwa upuuzi wako tuu, soma vizuri caption,(kwa ajili ya msafara wake) kwani asipofunga jk watu walio katika msafara hawafungi? sio lazima mradi tu uandike chochote.
ReplyDeleteJK akiwashukuru kinamama wa Ngara ambao waliandaa futari kwa ajili ya msafara wake wa kampeni
JK HUKU MTAANI BADO KUNA TATIZO LA UJAMBAZI MITAA YA MBEZI NA HII NI TAKRIBANI MIEZI ZAIDI YA MITANO SASA INAMAANA KOVA NDIO AMESHINDWA AU ? PIA VP WAPIGA KURA WAKO NA MUSTAKABARI WAO WA PESA ZA DESI? BADO KILIO MTAANI SASA HII VIP KTK MIKAKATI YENU AU NDIO HAWA WATU WAMEZULUMIWA?
ReplyDeleteTATIZO CHADEMA ZITO MCHAGA, SLAA MCHAGA, PROFESA ALIYEFUKUZWA UDSM KWA KUWA KADA WA CHADEMA MCHAGA NA WOTE HAW NI WAKATORIKI; HUU NDIO UJINGA WALIONYWESHWA WANA CCM WAAMINI HIVYO KWANI HAWAJUI SIRI ILIYOMO NDANI YA KOFIA WANAZOPEWA.
ReplyDeleteInakuhusu mdau wa kwanza hapo juu.
ReplyDeleteTusipende kuleta hisia zisizo za msingi. Unazalisha chuki ndugu yangu, mtatupeleka kubaya! Hivi Tanzania hii ya leo kuna mgombea wa uraisi, ubunge au udiwani ambaye ni mdini? Kwa vigezo vipi? Kipi cha udini anachoeneza na ni nani huyo mtu?
Kwa jinsi ninavyojua kama angekuwepo mgombea ambaye ni mdini basi angekuwa amekwishatolewa.
Watu msiongee nonsense kwa vile tu ni muda wa uchaguzi.
TAKUKURU.....hii imekaaje?
ReplyDeleteNani ni mgombea wa kiti cha ubunge huko Ngara?
ReplyDeleteHANDSOME
ReplyDeleteHONGERA NINI ZA CCM KUWA NA VITI 16 VYA WAZI HIYO NI FAULO YA TUME YA UCHAGUZI INAKUWAJE WAGOMBEA WOTE WALIOKUWA DISQULIFIED NI WA UPINZANI HAKUNA WA CCM HATA MMOJA UKIZINGATIA YULE WA NZEGA DK KIGWANGALA NI VITUKO TUPU ANATAKIWA ASIWEPO KWENYE KINYANG'ANYIRO KWA SABABU ANAKSORO?
ReplyDeleteAnon aug 26,3:21Pm
ReplyDeleteMimi MBIGIRI GWASSA NIYONZIMA NDAYISHIMIYE VYAMUNGU NDEREIMANA NIKIZA NZOYISABA ndiye mgombea ubunge wa Ngara pekee kupitia chama kile kile.Nawaomba mnipe kura zenu za ndiyo.Nawaahidi kuwapa Ibishibura,umuramba,imeke,imarasene wananchi wote wa Ngara.Na nina ahidi nitaangamiza IVUNJA Ngara nzima.Abwamahanga msiniulize nimeandika nini.Wangara watanielewa
kwa wachawi na majambazi
ReplyDelete