Muwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Bw. Justine Salakana na mkewe wakimwaga sera zao wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010 Jimboni humo.
Muwania Udiwani wa Kata ya Kilimanjaro,Bw. Priscus Tarimo (kati) akiwa na wadau wake kabla ya kuanza kwa mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Moshi Mjini jana.kulia ni Irene George na kushoto ni Carol Ndossy.
wana CCM wa Moshi mjini wakimshangilia mgombea Ubunge wao.
wengi walijitokeza katika mkutano huo

Picha za CUf vipi kaka michu. Lipumba kazindua kamepni leo Temeke
ReplyDeleteDuh..Priscus Tarimo nimekukubali mkuu, kweli uko strategic..kila la kheri..
ReplyDeleteAnon wa kwanza aka mdau maarufu wa CUF sasa unataka nani akufanyie kazi ndugu yangu?
ReplyDeleteUmemtumia Michuzi picha za CUF akashindwa kuzitundika kwenye bango? Wadau wa CCM huwa wanamtumia Michuzi ndio maana tunaziona.
Zinduka ukifanyie chama chako kazi.
Uncle bana na hii basi, Kaka Priscus angalia kaka tusije uwa Leopard, pamoja sana kamua. LJS tupo juu, sasa ni kampeni za nani atakuwa Rais 2020.
ReplyDelete