Albamu ya kwanza ya Lady Jaydee na machozi band inayoitwa 'combination' itazinduliwa na kutoka rasmi Ijumaa ijayo ya tarehe 6/8/2010 pale Mzalendo Pub, Millenium Towers, Kijitonyama jijini Dar. Show itaanza saa 3 usiku. kwa atayehitaji siti maalumu tuwasiliane na Gardner G. Habash kwa simu namba 0784 884007, tutamuwekea kwa shs elfu 20 tu.

hii ni albamu ya kwanza
Lady Jaydee na Machozi Band kutoka.

Tunawashukuru sana wapenzi na wadau wa Lady Jaydee na Machozi Band kwa uhisani wao. tunawashukuru pia zantel, valley springs, sheir illusion, michuzi blog, zizzou fashion, na vyombo vyote vya habari. kwa kweli mtoa mchango mkubwa wa kukikuza kipaji hiki cha nyumbani. Mungu awabariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii itakuwa ni siku special, kwa kuwa mimi ni mhudhuriaji mzuri wa show ya Machozi Band nitoe ushauri wa mambo 2 kufanyiwa kazi:
    1. Kuna speakers za Mid range nadhani sometimes wakiimba zinakoroma na pia huwa saa zingine zinapoteza sauti.
    2. Pale getini walinzi hawajipangi inavyotakiwa hivyo kuleta msongamano mkubwa wa watu wakiwa wanatoka kwenda maliwatoni, mfano yule anayeinsect watu anakaa kushoto wakati ukiwa unatoka na kuwasearch wale wanaoingia toka upande mwingine.

    ReplyDelete
  2. sheir illusion?

    ReplyDelete
  3. Michu huyo anon wa Mon Aug 02, 08:38:00 AM eti ''sheir illusion?'' ndo nini sasa kaandika?unajua kuna watu wanapenda kupotezea watu moody jumatatu asubuhi!kwamba ndo nini sasa kuuliza swali na kuliachia hapo?au ana ny*ge, kuhusu machozi big up jide, maboresho hayo poa sana nasapoti anony wa kwanza hapo.usinibanie ili huyu mbwiga next time awe precisely!

    ReplyDelete
  4. Jamani mi naomba angalizo:

    Mimi ni mdau wa machozi Band toka kule Zuangoo,,am very sorry kusema kwamba pale mzalendo pawepo na imovabable tenets,,huwa tunanyeshewa some time pale,,sasa unakuta mtu uko na flowers wako (i mean mrembo) mara gafla wingu limetanda mvua imenyesha,,starehe inageuka kuwa karaha,, na wahudumu waongezeke,,na bia ziwepo za kutosha,,mana bwana pale ikiweza kumaitain bia moja mwanzo mwisho inakuwaga mara chache sana,,lazima utaambiwa zimeisha kunywa hii,,mana zimefana chupa

    haya bwana mi nawatakia mduariko mwema,,mi ntakuwa arusha

    Asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,,,sukraniiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  5. Wataalam wa kuganga 'stress' (msongo wa mawazo), naona huyo anon wa August 02, 12:04 anahitaji tiba ya dharura.

    Mumuwahi kabla hatujampoteza tafadhali. Anahitaji sehemu ya kupumulia frustration zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...