Home
Unlabelled
lau apeta jimbo ka nyamagana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Very elloquent.
ReplyDeleteCongratulations Masha
WEWE MASHA UNAFURAHIA KUPATA USHINDI WA MEZANI? KAMA HAKUNA TENA UCHAGUZI WA MBUNGE HAPO JIMBONI KWENU WEWE KAMA MWANASHERIA NA WAZIRI WA SHERIA UONE KWAMBA WANANCHI WA NYAMAGANA WAMENYIMWA HAKI YAO YA MSINGI KUPIGA KURA NA KUMCHAGUA MBUNGE KUPITA KISANDUKU CHA KURA?
ReplyDeleteHII SHERIA INAYOKUPA WEWE KUPITA BILA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI INAWANYIMA WANANCHI HAKI YAO YA MSINGI YA KUPIGA KURA.
HATA KAMA UPO MWENYEWE INABIDI WANANCHI WAPIGE KURA, MBONA KIKWETE NA DR SLAA WALIKUWA WAGOMBEA PEKEE WA URAIS KWENYE VYAMA VYAO NA WALIPIGIWA KURA ZA NDIYO AU HAPANA.
MTU ANAWEZA KUPITISHWA NA TUME YA UCHAGUZI LAKINI WANANCHI WAKAWA HAWAMTAKI. ILI KUJUA HILI NI LAZIMA WAPIGA KURA. ZAIDI YA YOTE MBUNGE ANAWAKILISHA WANANCHI NA SIO TUME YA UCHAGUZI HIVYO TUME ISIWE NA MAMLAKA YA KUTANGAZA MTU KWA NI MSHINDI WA UBUNGE WAKATI WANANCHI WAJAPIGA KURA.
Michuzi umenikumbusha mbali sana hivyo ndivyo Laurence Masha alivyokuwa akiitwa na vijana wenziwe "LAU" hata pale Mlimani, maHS wenziwe walikuwa wakimuita hivyo.
ReplyDeleteWe Anony wa Tue Aug 24, 12:17:00 PM acha kupoteza muda, kama chadema hawatakata rufaa, Masha kesha peta, Huo Ndo Ujanja, Nampongeza sana Mheshimiwa Masha ni mjanja.
ReplyDeleteHata hivyo Wananchi lazima wapige kura, Tusubili waamue Kusema hapana au Ndiyo.
Ila Kwa bongo, hata ikiwa hapana ni hapana mwingine ila ni yeye tu. ikiwa ndiyo ni ndiyo yeye tu.
Utalia sana, na kunungunika wenzio watapeta. Hii ndo bongo, shangaa.
Muulize MNYIKa kilichotokea Ubungo 2005 na pia jimbo la Ludewa mwaka huu wakati wagombea wanarejesha form.
Wapinzani kutawala nchi hii, labda YESU ashuke. CCM songa mbele kurudi nyuma mwiko.
sioni sababu ya kumpongeza Masha, kwanini anaogopa kusimama na wapinzani, kwanini watafute vipingamizi juu ya wagombea kipindi hiki cha uchaguzi! Huo sio ujanja ni woga! Halafu Masha mbona hajui kujieleza anababaika kama nini, mfano unamuuliza changamoto alizokutana nazo pia anawaahidi nini watanzania na wana Mwanza-sijasikia akijibu precisely hayo maswali ya msingi kabisa, watu hawataki kujijengea heshima katika siasa. Wana-Mwanza pigeni kura ni haki yenu ya msingi, na kama hamjaridhika na hayo maamuzi, chukueni hatua
ReplyDeleteSioni sababu ya kumpongeza Masha, kwanini hataki kusimama na wapinzani!? Kwanini wanasubiri wakati wa uchaguzi ndo wapate detail za watu. Huo sio ujanja ni woga! Halafu Masha mbona hajui kujieleza, mfano ameulizwa maswali ya msingi kabisa: changamoto alozokutana nazo na kwamba anawaahidi nini wana-Mwanza na Watanzania, sijasikia precise answer hapo. Watu wanashindwa kujijengea heshima kwenye lingo za siasa, wamejaa hofu tu. Wana-Mwanza kura ni haki yenu ya msingi, kama hamjaridhika chukueni hatua.
ReplyDeletetanzania yale yale ya JK NYERERE yeye na kivuri hii ni hawamu nyingine inabidi bwatu wa pige kura vyama vipo hata hakishinda haki himetendeka kwa wasio mtaka kwamba wamepiga kura zao tanzania hamkeni jamani hata vijana wa taifa la kesho msha hanza wizi huu wa macho macho tumtegemehe nani tanzania
ReplyDelete