Mweshimiwa wa bwawa la Maini
naomba utuwakilishie mtandao huu mpya wa utalii wa ndani kwa wadau
Hii ni kwa ajili ya kuwapasha habari wadau wa utalii
www.mbuganisafaris.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamaa kaifanyie editing hiyo web yako. umechemka vibaya

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana wadau wa mbugani safaris kwa kweli hii website yenu imetulia wakuu.. Tunataka mabadiliko ya sekta hii ya utalii hasa kwenye swala nzima ya kuutangaza utalii wa Tanzania.. BIG UP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...