Msanii wa bongo flava Juma Nature akicheza na Lil'Kim wakati wa Fiesta katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Kundi la Wanaume TMK toka shoto Mheshimiwa Temba, Chege na Kr Mulla jukwaani na wimbo wao wa 'Mambo bado'
Lil'Kim akitumbuiza maelefu waliofurika uwanjani hapo





kwanini wasivue nguo tu??!! maana wakinamama jamani! ni uchi huo kabisa! maadili tena yamepotea! na kinababa wanapeeeenda kuangalia! kukemea aaaa, mnatoa mimacho kama nini sijui! tamu eeeeh? MTAKUFA
ReplyDeleteYou tube please nataka kuona Nature na Lil Kim Live .. I loove Juma nature..Nilimmiss saana jukwaani..
ReplyDeleteplz tuweke video ya natural na kim !!
ReplyDeletekaka michu kama hutapost picha ya mnato nitachukia sana. by the way huwa nanyonya picha zako za mnato naziweka kweka facebook kuwaonyesha my american friends kuwa Africa mastaa wengi wa unyamwezini wanakuja!!
ReplyDeleteTuwekee video ya Nature and Lil Kim tuone wanaimba lugha gani kwa pamoja
ReplyDeleteseriously hayo ma leather jacket na joto la bongo mi wala sipimi si lazima kila fashion tuwemo
ReplyDeletendio jamani concert nzuri watu wamependeza lakini mbona JUMA NATURE katuaibisha wakati huyo LiL Kim amevaa vivazi vya SUMMER WEATHER Yeye aliokueko africa na ni joto 24hour amevaa LATHER JARKET.
ReplyDeleteYani kikweli ametuaibisha jamani lazima mtizame mafadhi mengine
sorrry for interupt u....