Mshambuliaji wa timu ya vijana chini ya miaka 20 ya Ngorongoro Heroes, Yusuph Soka (kushoto) akimtoka mchezaji wa Ivory Coast, Toure Cheick wakati wa mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, hivyo Ngorongoro imetolewa nje ya michuano hiyo kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya kufungwa bao 1-0 huko Ivory Coast wiki mbili zilizopita.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...