(Picha na Aron Msigwa - Globu ya Jamii)
(Picha na Aron Msigwa - Globu ya Jamii)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi uwe unasema marais wa zamani mawaziri wa zamani sio Wastaafu.Kaunda alishindwa ktk Uchaguzi hakustaafu,Sumaye hakustaafu labda Mwinyi ndiye unaweza sema alistaafu ingawaje kipindi chake kilikwisha(kikatiba) kama isingekuwa hivyo angeendelea kuwepo madarakani.Kustaafu ni pale mtu anapoamua kibinafsi kuacha kazi maybe because of Afya,Umri au kuchoka kuwa madarakani/nyadhifa fulani.
ReplyDeleteHuwa unaandika waziri mstaafu "fulani" wakati ukweli tunajua hakuteuliwa na Rais kuendelea kuwa waziri mfano Sumaye na wengine wengi.
UNAPOTOSHA.
Mungu azidi kumpa afya tele Rais wetu mstaafu Mh. Mwinyi..(1925)
ReplyDeleteWamepishana only 3years na Baba wa taifa(1922)
anony wa kwanza: kisiasa 'kung'atuka' = kustaafu?
ReplyDeletewabunge wetu wana mikataba ya miaka mitano mitano, je hawaingii kwenye kundi la wastaafu wanapomali za mihula yao?
anony wa kwanza: kisiasa 'kung'atuka' = kustaafu?
ReplyDeletewabunge wetu wana mikataba ya miaka mitano mitano, je hawaingii kwenye kundi la wastaafu wanapomali za mihula yao?