Home
Unlabelled
ndesamburo nae anguruma moshi mjini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kuna huu wimbo wa diamond huko youtube changua ccm
ReplyDeletekuna sehemu ina sema kikwete katuletea Brazil wakati vingilio viliwekwa vikubwa na TFF walisema serikali haikutoa hela yoyote watu walipolalamika kuhusu hivyo vingilio naisi hapa hela ililliwa maana kama vipi ccm wangemtumia msanii kuwapigia debe kwa maneno yasiyo ya ukweli hoja nani haliwaleta Brazil?
Kuna mengi katika wasanii wa bongo
ReplyDelete1. ujinga
2. Hawajishugulishi kutafuta data
3. Njaa kali wanatunga nyimbo wasizo zijua
Na nina wasikitikia kwani wanaongoza kwa njaa kali mjini lakini hawajafumbuka macho.
Ndesamburo nDesapesa jembe la chadema, mbuyu unaowaumiza kichwa CCM, Mbaya zaidi CCM wamemteua Salakana aliyejiandikisha kupiga kura Rombo ambaye inaonyesha hakujiaandaa kugombea ubunge
ReplyDeleteKIDUMU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
Ankal, naona kidoogo umeleta taswira za CHADEMA....tunashukuru kwa hilo maana ulikuwa unaharibu kabisa maana nzima ya blog ya jamii......endeleza libeneke bila kujali itikadi yako inayojulikana....hongera ankal
ReplyDelete