Matokeo toka jimbo la Tanga mjini Yanaonesha kwamba mbunge anayemaliza muda wake Mh. Harith Mwapachu, ameangushwa na mgombea Omari Nundu.
Mwapachu, ambaye amepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, ameangushwa na mpinzani wake kwa kuzidiwa kura 5293 huku Kassim Kisauji akipata kura 5087.
Katika Jimbo la Muheza, mbunge anayemaliza muda wake Herbet Mntangi ameshinda kwa kura 9,142, akifuatiwa na Julius Shemwaiko (6,595) na Jonathan Mhina (629).
Korogwe Mjini Yussufu Nasiri ameshinda kwa kura 2513, akifuatiwa na Joel Bendera (2258) na Mariam Nafutalkura (428).

Kwa matokeo zaidi yaliyopatikana leo
nenda libeneke la michuzi-matukio
PETER NALITOLELA, ANKAL MICHUZI SASA WEWE KAMA MSOMI WA MUZUMBE ALIYEBOBEA NA KUPATA DIGLII YA ECONOMY KUTOKA CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MUZUMBE MBONA HAUJASIMAMISHA WAGOMBEA WAKO WAKO, NAONA TU UMEMUWEKA JANUARY MAKAMBA TU? NABII HIS HOLINESS YOHANA MASHAKA ANGESIMAMISHWA KUWAKILISHA BULOGU YA JAMII, HATA KAMA NABII HASINGEWEZA BASI UNGEMSIMAMISHA DAKITARI HILDEBANDI SHAYO, TUNGEPIGA KULA HATA KWENYE BULOGU YETI ETI, JAMAA NI VICHWA SANA WALE KUNGE LETU TUKUFU LINGNEPENDEZA SANA
ReplyDeleteHello mbona sjaona matokea ya mgombea binafsi, Mh. Issa Mwihidini Michuzi si nasikia aligonbea jimbo la Tegeta mjini...???!!
ReplyDelete