Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Isidory Shirima akihutubia wananchi walioudhuria katika ufunguzi wa maonyesho ya nane nane kwa kanda ya kaskazini mjini arusha
Mkuu wa mkoa Mh. Isidory Shirima akikagua banda la JKT Oljoro leo katika maonesho ya nane nane akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Arusha Mh. Raymond Mushi wakielekezwa aina kadhaa ya mbegu za maindi ambazo jeshi hilo zinazalisha. Picha Zote na Woinde Shizza wa Globu ya JamiiArusha


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...