Bismillahir Rahmanir Rrahim

Amesema Allah S.W: Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Allah ni kama mfano wa punje moja iliyotoa mashuke saba, ikawa katika kila shuke pana punje mia. Na allah humzidishia amtakaye (zaidi kuliko hivi) na Allah ni mwenye wasaa mkubwa (na) mwenye kujua. Suratil Baqarah (2:261)

Uongozi wa masjid munawar Jang'ombe kwa Maharuki - Zanzibar, unawatangazia waislamu wote bara na visiwani kuchangia katika upanuzi wa msikiti kwa kuwasilisha michango yao moja kwa moja msikitini au kupitia benki ya watu wa Zanzibar A/C 0212 0602 8457

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na uongozi kwa namba
0777 450 140/238 927


Wasalaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Suala la wazanzibari hili, si la muungano!!!

    ReplyDelete
  2. Rejea mafundisho ya dini, afanyaye lilifaradhishwa ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani hupata mara sabini na yule afanyaye lililo la suna hupata malipo sawa na faradhi. Kazi kwenu waislamu, ipo sababu yeyote ya kuukosa ujira huu?

    wabillahi taufiq

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...