Ankal
Leo Mitaa ya Mtaa wa Shabaan Robert, nje ya shule ya msingi Bunge na mkabala kabisa na Ofisi ndogo za Bunge, kuna gari limepatwa na zahama hiyo kama inavyojionyesha kwenye picha. Maeneo hayo hutumiwa sana kama packing na watumishi wa Ofisi ya Bunge na Hazina.
Inasadikika mpaka hivi sasa mwenye gari hajapatikana kwani anafanyia Hazina na juhudi za kumpata zinaendelea.
Mimi Mdau Owen Mwandumbya

Kama hii bwana nimewahi kuiona pale Kinondoni makaburi! Tena gari ilikuwa kwenye foleni, bahati nzuri hakufa mtu! Lakini wazee wa jiji hatari jaribuni kufuatilia hata umri wa miti na usalama wake tutaja poteza watiu kwa mambo ya kijinga tu!!
ReplyDeletesioni kama hii ni story, labda kama gari lingeangukia mti ingekuwa.hebu itv leteni story za maana.
ReplyDelete