WAKATI kampeni za uchaguzi mkuu zikifunguliwa rasmi leo hii, Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) imemuengua aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, kutokana na kutotimiza masharti yaliyowekwa kwa wagombea urais.
kwa habari kamili.
BOFYA HAPA.
UCHAGUZI WA NINI WAKATI KIKWETE NDIYE MSHINDI HUKU NI KUPOTEZA MUDA NA PESA BURE
ReplyDeleteHizo kasoro za hao watu ni zipi. Tunataka tuonyeshwe na wa CCM wadhanmini wake tuone nao kama hawana kasoro. Tunataka kujua hizo kasoro ni zipi?
ReplyDeleteAende akachunge kondoo wake waliopotea, kwenye siasa hana jipya , akawadanganye haohao kondooo
ReplyDeletekasoro moja wapo ni kwamba hana wadhamini hana wagombea ubunge wala madiwani hana mgombea mwenza.
ReplyDeleteMbona Mgombea wenu ana mapepo na sisi hatulalamiki? Pole Mchungaji
ReplyDeletehana wadhamini wa dini na dhehebu tofauti.
ReplyDeleteatapata kazi saana kuteua viongozi wa serikali walio walokole tuu.
Anonymous Sat Aug 21, 02:19:00 PM
ReplyDeleteNdani ya kichwa chako kuna kitu kweli?? Nahitaji tu kujua hilo!!
kondrok!!
Anonymous 08:41:00PM
ReplyDeletedini na dhehebu tofauti leo ni ishu?? kazi kuteua viongozi wa serikali walio walokole tuu!! ha, kuna taabu?? leo kuna walokole wangapi serekalini??
waweze wasumani washindwe wakiristo! jifunze kufikiri.
Hivi kwa nini watu bado wanamwita mtikila mchungaji wakati maneno na matendo yake yanapingana na INJILI? Huyu jamaa ni feki. Tuulizeni sisi tunaomjua tangu 1970's. Ngombanile.
ReplyDelete