Afisa Urasimishaji Biashara wa MKURABITA,Bw.Harvey Kombe akitoa elimu kwa wadau wa Jukwaa la Sanaa kuhusu Urasimishaji wa Biashara.
Sehemu ya wadau wa Jukwaa la Sanaa wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa na Timu ya MKURABITA.

kwa habari kamili
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. The following assessment by Mwesiga Baregu on effectiveness of Multiparty system in Tanzania. I think it is quietly reflected within the ranks of the Ruling party and Concern Citizens. Where are we heading from here??, given the current climate of CCM dominance, will the democracy be saved by reverting back to single party system ?

    Continue Reading here

    ReplyDelete
  2. Sheikh wangu naomba nitoe maboresho kidogo kuhusu maelezo ya hiyo picha hapo juu "Afisa Urasimishaji Biashara wa MKURABITA,Bw.Harvey Kombe akitoa elimu kwa wadau wa Jukwaa la Sanaa kuhusu Urasimishaji wa Biashara." Huyo ndugu anaitwa "STEPHEN RUSIBAMAYILA" NI MKURUGENZI WA UENDESHAJI WA MKURABITA, na si Kombe kama ilivyo andikwa.
    De

    ReplyDelete
  3. Salam,
    Nikiangalia hii picha naona wasanii wa filamu na maigizo. Hivi wasanii wa Bongo flava na muziki wa dansi hizi semina haziwahusu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...