Asaalam Alekum ankal.
Mimi najitokeza kwa mara ya kwanza ninaomba msaada wako na wadau.
Mimi naitwa HAMIS MASISI mkazi wa dar nilikua namtafuta rafiki yangu JONAS MALAMLA ni mwenyeji wa mkoa wa Dodoma alikua anafanya kazi CASEMENT AFRICA LTD miaka ya 90.
baadae aliacha kazi nakwenda kugombea ubunge kwa tiketi ya CUF dodoma.kwa sasa nasikia aliachana na masuala ya siasa na anafanya shughuli zake mwenyewe.mara ya mwisho tulikuwa tunaishi wote Kijitonyama miaka ya 1980.nilipoteza mawasiliano nae baada ya mm kuhama.
kwa yeyote mwenye kumfahamu amjulishe mimi rafiki yake namtafuta au yeye mwenyewe mara baada ya kusoma ujumbe huu naomba anitafute kwa namba au 0754 646232 au 0713 646232
Natanguliza shukrani zangu
Mimi Hamis Masisi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...