Kwa niaba ya familia na ukoo wa Njaidi, tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu na rafiki yetu, MNOMBA NJAIDI kilichotokea ghafla Ijumaa ya tarehe 27 August 2010 huko Ireland. Marehemu alipendwa sana na wengi lakini Muumba alimpenda zaidi - tunamwombea mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina.
Maombi ya Ushirikiano:
Kwa niaba ya familia na marafiki wa marehemu, tunaomba msaada wa hali na mali toka kwa watanzania wote waliowahi na ambao hawakuwahi kumfahamu. Michango yenu ya hali na mali inatakiwa ili kufanikisha usafirishaji wa mwili wa ndugu na rafiki yetu kuelekea Tanzania (Toka Ireland).
Kwa michango tafadhali tumia details zifuatazo;
United Kingdom:
Account name: Y W Mirambo
Account number: 726 59 181
Sort Code: 09-01-26
Bank: Santander Bank
International transfer number: Above details zitafaa lakini namba tutaweka hivi karibuni kurahisisha International transfers
Simu: Yusuph +44 7972256826, Munde +44 7869410750, Chambi +44 7900626410
ASANTENI KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU NA MUNGU AWAJAALIE NA AWAONGEZEE SABA MARA SABINI
Mungu alitoa na Mungu ametwaa

Jina lake litukuzwe
- Amen!!
Poleni wafiwa, swali hii bima ya NSSF ya kusafirisha maiti inaanza lini? hii michango itatumaliza.
ReplyDeleteInalillah wainaillah rajiun.
ReplyDeleteI went to Mzizima with him, the last time I saw him was in Morogoro hotel more than 10 years ago. He was a friend kwakweli. Poleni sana kina Adam and that lil sister of yours, your other brothers, your parents, ndugu jamaa na marafiki wote especially Chambi
Ex Mzizima
Nyie haya majina yenu ya kihuni unadhani kuna mtu atachanga? Kwanini mtu asiandike jina lake kamili ili iwe point of reference hata kama pesa zimeliwa??? Poleni wafiwa but jaribuni kuandika majina yenu kamili
ReplyDeleteThis is very sad and shocking news! May the Almighty God rest his soul in Eternal Peace. Pole kwa familia na Mwenyezi Mungu awape subira kipindi hichi kigumu.
ReplyDeleteDuuuhhh!.. Ni habari ya kushtusha. Poleni wafiwa,ndugu,jamaa na marafiki.Inanikumbusha those old days we had in A town. RIP Bro
ReplyDeleteMy condolosence to the bereaved family. such a young life taken in an instant but that is Gods great work. May he rest his soul in peace. and as for you anonymous neanderthall who commented rubbish you were not forced to. so please leave those who have better to say. life is too short we might be paying you orbituaries 2morrow. so dont count your chickens before they have hatched!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteRIP DJ Mnomba. You will be missed by many music lovers who knew you, both, in Tanzania and the rest of the world.
ReplyDeleteI.W.R
ReplyDeletePoleni familia ya Njaidi. Jitahidini muje mumsitiri katika ardhi aliyozaliwa ili asije zikwa na sanduku kama ilivyofanyika Italia
Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanaosubiri
Mnomba was one of the sweetest schoolmates at Mzizima Sec. School. RIP Mnomba... I will miss you so... U had the cutest smile. Luv u always.
ReplyDelete