Home
Unlabelled
WADAU KATIKA FUTARI YA PAMOJA UGIRIKI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana wabongo wa ugiriki, hii nimeipenda sana. Hapo kuna picha za marehemu wazee wetu, Sheikh Karume na Mwalimu Nyerere, na katikati yao kuna bendera ya taifa lao walilolianzisha.
ReplyDeleteMimi ni Mdarisalama na mke wangu ni mzanzibari. Watoto wetu ukuwauliza wao ni nani, jibu lao wanasema kwamba wao ni waswahili.
Udumu muungano wa Zanzibar na Tanganyika.
Ndio mac jay futari itakutambua baba ake.
ReplyDeletembona kama ni mwananyamala komakoma? Ugiriki kumechoka sana bora mrudi home
ReplyDelete