Home
Unlabelled
mtaa wa aggrey
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dar-es-salaam is a time bomb...........!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKwangua anga!! lakini hebu ona huo msongomano hapo chini. Hebu fikiri hiyo adha utakayopambana noyo kama unataka kukatisha toka Lumumba hadi Masimbazi, kwa gari huwezi na kwa miguu kama ukifika mwisho hado simu uanayo umshukuru mola!!!
ReplyDeleteTatizo mji hauvutii sababu ya uchafu.
ReplyDeleteHilo trekta nalo linafanya nini katikati ya mji?
ReplyDeletekwetu sie tunaoishi hapa hapa bongo hatuoni uchafu wala nini tunapeta tu kana ney yaka bana vikwanguzwa anga no building Quality just quantity tumezoea harufu haitusumbui
ReplyDeleteWewe unaesema umezoea uchafu ndio nyie mnaotupa maganda ya machungwa popote. Hata mimi nipo Bongo lakini nakerwa sana na uchafu wa mji. Tubadilike wenyewe kwanza!!
ReplyDeleteWe mdau unaulizia trekta la nini hujui tuko kwenye Kilimo Kwanza?
ReplyDeleteno city planning, no use of census, decisions made by politicians instead of technocrats....what do you expect? shida tupu nchi ina wataalam lakini wenye maamuzi hawasikilizi manake ni personal benefit ndio inawekwa mbele. MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, LOL!! sad , we need to change mind set zetu, tuwaze jamii kwanza.bila hivo hatuendelei kamwe!
ReplyDeleteHalafu hebu fikiri huo ndiyo mtaa ambao anaishi mbunge wa Ilala Mhe Zungu. Pamoja na hayo bado atapigiwa kura. Halafu kuna diwani yule ana asili ya kisomali sijui kama alipeta kwenye kura ya maoni. Yeye mwenyewe alivyo hana tofauti na dampo. Halafu bado naye atapigiwa kura. Very pathetic. Jiji la Dar halihitaji madiwani. Linahitaji kuongzwa na tume ambayo yenye maamuniz ya mwisho. Haki ya nani?
ReplyDeleteHizi lawama ni zetu sote watanzania kwa ujumla kwa kushindwa kudumisha usafi wa mazingira katika miji yetu.
ReplyDeletehayo maghorofa yana meet design specs au ndio baada ya ya miaka mitanao yanaanz akubomoka kama yale ya kariakoo...home is home though, i wouldnt say any thing against my country ..i love this country to death...
ReplyDeleteEmbu sikizeni!! Hanko hakiona hits zinadumaa basi hubandika mapicha hau newz sinazousu vikwagua hanga! Apo watu watahandika tu, tena sana!
ReplyDeleteHits zikihanza kushuka tena ataweka nyuuz hau hambali za foreni za magali na msogamano balabalani!
Ameshatusoma na kutuhelewa vema wasomanji wake. Siku izi niuz zimekuwa hadimu.
Chiaz Mchizi
...damn-we ANONY wa ''Fri Aug 06, 06:16:00 PM'' ludi CLASS....aiseee!!
ReplyDeleteMichuzi umekumbuka ulipokulia mtaani kwako. kama sijakosea kwenu ilikuwa nyumba ya tatu au ya pili kutoka shule ya msingi ya Lumumba kushoto. tafuta picha basi za kaka zako kina Chamenya na Melaboni uziweke.
ReplyDeletekila anayejenga gorofa atenge na fllor moja ya parking, ni ushauri tu
ReplyDeleteVkwangua anga ndiyo majengo marefu? kama ndiyo maana yake mimi nitasema ni msemo wa watu wasio jua maana ya ke kwani majego marefu katika majiji , miji yote duniani lazima yawe tall building policy jiji mnayo? jibu hakuna basi hizvi ni vikaribisha vifo, je wenye majengo na design team wanafuata code of practice from feasibility to completion? jibu hapana, je kuna pre-construction information za majengo haya? jibu hapana, sasa utaratibu wa mchoraji na materials ya kutumika kutokana na mazingira/ material yapi yatumike ili aliangaliwi sasa ni vipi planning application wanapewa hawa wajenzi na wenye majengo? jibu ni rushwa, hili tumeliona jengo moja lilipoporomoka na kuua hili lilimtoa Waziri mkuu kipindi hicho Edward Lowasa kwenda na kutoa amri pale ya mwenye jengo kukamatwa, mimi nilifikira hiyo sio kazi ya waziri mkuu, pale watu wote pale jiji waliohusika walitakiwa kufukuzwa kazi, na ingekuwa kuanzisha taasisi ya health and safety in construction labda ikiwa chini ya mtu kama profesa Sunga kilonde hii ingetoa mwongoza nini kinatakiwa kabla mtu ajaanza kikwangua vifo.Ushauri serikali ya Tanzania watumieni wataalamu waliopo, kwanini hamtaki kumtumia kilonde kwenye matatizo ya ardhi na ujenzi? wazungu wanamtumia huyu mzee, sasa serikali hamtaki au mpaka siku akitangaza nia?
ReplyDeleteMDAU UK