Mtoto Shakur Rajab akiwa amejipumzisha muda mfupi baada ya kufanyiwa Hakika (Dua) nyumbani kwao uwanja wa ndege.
Mama wa Shakur,Bi. Aisha Juma Kibukillah (kulia ) akiwa na rafikiye kipenzi Chiku Mombo katika kisomo cha mtoto Shakur (aliempakata).
Maustaadh wakiongoza dua ya kumuombea mtoto Shakur Mwenyezi Mungu amkuze katika maadili mema.
Majirani waliojumuika katika Hakika ya mtoto Shakur Rajab.
Ustaadh Hussein Bashir akitoa waadh katika Hakika ya mtoto Shakur iliyofanyika mwezi huu huko Karakata Uwanja wa Ndege jijini Dar.

huyo mtoto ni mtume mwingine nini? kazi kwenu waislamu.
ReplyDeleteDhumuni la kuja NewYork ni kusalimia ndugu jamaa na marafiki,na kupumzika. Lakini pia ni kununua baadhi ya vifaa(vyombo vya Machozi Band) kwaajili ya kuboresha Sound.
ReplyDeleteBy
Lady Jaydee
soma zaidi na picha kwenye blog ya haki ngowi.
Nimuhimu tuhelimishane hapa kidogo.
ReplyDeleteHili swala la arubani sijui limetoka wapi? Hakika ya mtoto inaweza kufanyika siku yoyote, na swala la muhimu ni kuomba dunia na kumchinjia mnyama kama mbuzi. Na watu wakaja wakajumuika kula na kufurai na nyinyi.
Inshallah mwenyezi mungu amjalie mtoto huyu amewe ni mwenye kumjali mola na wazazi wake inshallah.
Aqiyqah na sio Hakika!!
ReplyDeletemtoto mzuri saaana. Hongereni wazazi nawatakia malezi mema
ReplyDeleteWe anon wa kwanza kabisa una kichaa: wacha kutukana watu wa dini nyingine na dini zao. Anyway, usijali tutakushughulikia ipasavyo. Namtakia huyu mtoto mzuri afya njema na kila la heri. Hamadi N.
ReplyDeleteWe anonymous wa juu kabisa hapo sisi ni waswahili tunaiita HAKIKA ukitaka mambo qqq whatever, nenda kwenye blog ya waarabu ok.....
ReplyDeletemtowa maoni wa mwanzo hebu tafute mtoto mwenzako ukacheze nae foliti huko!
ReplyDeleteVijiposti vyengine vya watu wenye akili finyu kama wewe vinaboresha sana!
Kuwa na heshima wewe mkosa adabu mkubwa!
nimependa jina la mtoto poa sana, hongera mama mzaa chema uko beautiful
ReplyDelete