Mtoto Shakur Rajab akiwa amejipumzisha muda mfupi baada ya kufanyiwa Hakika (Dua) nyumbani kwao uwanja wa ndege.
Mama wa Shakur,Bi. Aisha Juma Kibukillah (kulia ) akiwa na rafikiye kipenzi Chiku Mombo katika kisomo cha mtoto Shakur (aliempakata).
Maustaadh wakiongoza dua ya kumuombea mtoto Shakur Mwenyezi Mungu amkuze katika maadili mema.
Majirani waliojumuika katika Hakika ya mtoto Shakur Rajab.
Ustaadh Hussein Bashir akitoa waadh katika Hakika ya mtoto Shakur iliyofanyika mwezi huu huko Karakata Uwanja wa Ndege jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. huyo mtoto ni mtume mwingine nini? kazi kwenu waislamu.

    ReplyDelete
  2. Dhumuni la kuja NewYork ni kusalimia ndugu jamaa na marafiki,na kupumzika. Lakini pia ni kununua baadhi ya vifaa(vyombo vya Machozi Band) kwaajili ya kuboresha Sound.

    By
    Lady Jaydee

    soma zaidi na picha kwenye blog ya haki ngowi.

    ReplyDelete
  3. Nimuhimu tuhelimishane hapa kidogo.

    Hili swala la arubani sijui limetoka wapi? Hakika ya mtoto inaweza kufanyika siku yoyote, na swala la muhimu ni kuomba dunia na kumchinjia mnyama kama mbuzi. Na watu wakaja wakajumuika kula na kufurai na nyinyi.

    Inshallah mwenyezi mungu amjalie mtoto huyu amewe ni mwenye kumjali mola na wazazi wake inshallah.

    ReplyDelete
  4. Aqiyqah na sio Hakika!!

    ReplyDelete
  5. mtoto mzuri saaana. Hongereni wazazi nawatakia malezi mema

    ReplyDelete
  6. We anon wa kwanza kabisa una kichaa: wacha kutukana watu wa dini nyingine na dini zao. Anyway, usijali tutakushughulikia ipasavyo. Namtakia huyu mtoto mzuri afya njema na kila la heri. Hamadi N.

    ReplyDelete
  7. We anonymous wa juu kabisa hapo sisi ni waswahili tunaiita HAKIKA ukitaka mambo qqq whatever, nenda kwenye blog ya waarabu ok.....

    ReplyDelete
  8. mtowa maoni wa mwanzo hebu tafute mtoto mwenzako ukacheze nae foliti huko!

    Vijiposti vyengine vya watu wenye akili finyu kama wewe vinaboresha sana!

    Kuwa na heshima wewe mkosa adabu mkubwa!

    ReplyDelete
  9. nimependa jina la mtoto poa sana, hongera mama mzaa chema uko beautiful

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...