Mshambuliaji hatari wa Simba Mussa Hassan 'Mgosi'
akimpiga chenga ya mwili beki wa Yanga Shadrack Nsajigwa
Nsajigwa anaingia maboya na kwenda chini, wakati Mgosi huyoo...
Nsajigwa anajaribu kuwahi...
Lakini wapi...
Katika mechi hii ya ngao ya hisani iliyofanyika Neshno Yanga walishinda 3-1 kwa penati. Kwa picha zaidi na habari nenda michuzipost:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. We michuzi unaleta mambo ya aibu sana hii ni public blog dont take sides unaleta mambo ya ushabiki wa simba hapa simba washafungwa hata kama nsajigwa atapigwa chenga ishirini what difference does it make???BADILIKA BWANA.YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

    ReplyDelete
  2. YANGA BOMBAAugust 19, 2010

    ACHANA NAO WATU WA SIMBA WEWE UKIKUTANA NAO WAAMBIE HIVI "ALAMBAA,ALAMBA SIMBA AAMMM!AAAAAM!

    ReplyDelete
  3. Pole Ankal Michuzi!

    ReplyDelete
  4. Ankal yuko sahihi,yeye alikuwa uwanjano lazima alete picha za mechi ilivyokuwa kama wekundu walicheza vizuri ni vizuri tukaletewa hizi picha.

    Mkumbuke kuwa Yanga wameshinda kwa Penati tu(bahati nasibu).Ila Mgosi anatisha.Sasa Yanga mtamkumbuka sana Ngassa

    ReplyDelete
  5. Duh Tizama Mtu alivyowachwa Yanga tumewaachia tu na nyie mcheke siunajuwa Swaumu.

    ReplyDelete
  6. Chenga twawala ila tunafungwa yanga oyeeee

    ReplyDelete
  7. eETI YANGA WALISHINDA KWA PENALT,KWANI KUSEMA YANGA WALISHINDA KWA KISHINDO HAITOSHI,KWA SABABU SIO GOLI ZOTE 3 ZILIFUNGWA KWA PENALT!!!!.

    ReplyDelete
  8. Chenga twawalaaa kufungwa twafungwa!!

    ReplyDelete
  9. Mapenzi mengine bwana...yaani Ankal mechi nzima umeona chenga hii tu?

    ReplyDelete
  10. Bongo bana hata wapiga picha feki, unaweka mipicha ya chenza za simba ukija chini wamefungwa!

    Michuzi si ulienda ka shule ka kupicha wewe, hawa kavi (cover) mambo haya?

    Kwamba picha iendane na maudhui makuu?

    ReplyDelete
  11. Mmh! Kwa kweli Mgosi alimdhalilisha mzee mzima hapo. Haya ndio mambo ya kuvunjana sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...