SAFARI HII KUNA EXCLUSIVE INTERVIEWS TANO HAIJAWAHI TOKEA,HAYA NDO MAPINDUZI HALISI

NUMBER 10 USO KWA USO NA:

1. McDONALD MARIGA-KIUNGO WA INTER MILAN NA KENYA
2. PETR CECH- GOLIKIPA WA CHELSEA
3. RUUD GULLIT- NYOTA WA ZAMANI WA UHOLANZI
4. TONU PULIS-KOCHA WA STOKE CITY
5. JABIR AZIZI -KIUNGO MPYA WA AZAM FC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Biashara matangazo, lakini msipitilize kiasi cha kutuongopea walaji. We umefanya lini na wapi hiyo interview na Cech,Gullit na Tonu Pulis? umewalipa kiasi gani, niambie ume paste interview. Na je,umefuata taratibu?, i.e kunukuu kisha chini ukaandika kwa hisani ya ....."source ya interview yako"? maana hapo utakua umetimiza maadili.

    ReplyDelete
  2. we anon hapo juu, stop hating. Cech na Gullit walikuwa south WOZA 2010, mwandishi akaweza kuongea nao. Tony Pulis alikuja kupanda kilimanjaro, wakaongea naye. Vip mzaz mbona chuki? Nunua gazeti enjoy mambo achana na fitna, mbona ubongo mwingi wewe?

    ReplyDelete
  3. Baba UbayaAugust 31, 2010

    Tony Pulis mbona alikuwa bongo.sina hakika kama alienda kwa ajili ya kupanda Mt.Kilimanjaro ama la lkn taarifa zake za kuwepo bongo nlizisoma mtandaoni.yawezekana alionana naye Airport ama somewhere na akabahatika kumuuliza maswali kadhaa.haha but on Gullit and Petr Cech?mmh maybe me alionana nao South(during the W.C).haha

    ReplyDelete
  4. I know bongo hao sijui waandishi wa habari au maeditorial wanatakiwa wapewe somo sana kuhusu copyright...Wanacopy na kupaste sana habari bila kujali wenzao walio wahoji hao watu walilipa hela ngapi kutengeneza hizo habari. Wao wanahamisha tu kutoka mitandaoni...

    halafu hata kama unaandika "kwa hisani ya",...wenye habari zao wengine wanakubali kama inatumika kwa wanafunzi au kuelimisha umma lakini kama unacopy habari zao halafu unafanya biashara hawataki. Mpaka uwakatike kitu kidogo


    Utupe kwenye kapu hii comment I will hunt you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...