
SAFARI HII KUNA EXCLUSIVE INTERVIEWS TANO HAIJAWAHI TOKEA,HAYA NDO MAPINDUZI HALISI
NUMBER 10 USO KWA USO NA:
1. McDONALD MARIGA-KIUNGO WA INTER MILAN NA KENYA
2. PETR CECH- GOLIKIPA WA CHELSEA
3. RUUD GULLIT- NYOTA WA ZAMANI WA UHOLANZI
4. TONU PULIS-KOCHA WA STOKE CITY
5. JABIR AZIZI -KIUNGO MPYA WA AZAM FC
NUMBER 10 USO KWA USO NA:
1. McDONALD MARIGA-KIUNGO WA INTER MILAN NA KENYA
2. PETR CECH- GOLIKIPA WA CHELSEA
3. RUUD GULLIT- NYOTA WA ZAMANI WA UHOLANZI
4. TONU PULIS-KOCHA WA STOKE CITY
5. JABIR AZIZI -KIUNGO MPYA WA AZAM FC
Lete vitu , lete, lete
ReplyDeleteBiashara matangazo, lakini msipitilize kiasi cha kutuongopea walaji. We umefanya lini na wapi hiyo interview na Cech,Gullit na Tonu Pulis? umewalipa kiasi gani, niambie ume paste interview. Na je,umefuata taratibu?, i.e kunukuu kisha chini ukaandika kwa hisani ya ....."source ya interview yako"? maana hapo utakua umetimiza maadili.
ReplyDeletewe anon hapo juu, stop hating. Cech na Gullit walikuwa south WOZA 2010, mwandishi akaweza kuongea nao. Tony Pulis alikuja kupanda kilimanjaro, wakaongea naye. Vip mzaz mbona chuki? Nunua gazeti enjoy mambo achana na fitna, mbona ubongo mwingi wewe?
ReplyDeleteTony Pulis mbona alikuwa bongo.sina hakika kama alienda kwa ajili ya kupanda Mt.Kilimanjaro ama la lkn taarifa zake za kuwepo bongo nlizisoma mtandaoni.yawezekana alionana naye Airport ama somewhere na akabahatika kumuuliza maswali kadhaa.haha but on Gullit and Petr Cech?mmh maybe me alionana nao South(during the W.C).haha
ReplyDeleteI know bongo hao sijui waandishi wa habari au maeditorial wanatakiwa wapewe somo sana kuhusu copyright...Wanacopy na kupaste sana habari bila kujali wenzao walio wahoji hao watu walilipa hela ngapi kutengeneza hizo habari. Wao wanahamisha tu kutoka mitandaoni...
ReplyDeletehalafu hata kama unaandika "kwa hisani ya",...wenye habari zao wengine wanakubali kama inatumika kwa wanafunzi au kuelimisha umma lakini kama unacopy habari zao halafu unafanya biashara hawataki. Mpaka uwakatike kitu kidogo
Utupe kwenye kapu hii comment I will hunt you