Home
Unlabelled
profes lipumba achukua fomu za kugombea urais leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi weka picha za cuf walivyofunga barabara kwa maandamano leo.kweli nimekubali cuf inawafuasi wengi mno sema wanaibiwa kura tu
ReplyDeleterais wa tanzania huyo.haki sawa kwa wote
ReplyDeletehuyo ndio mgombea mwenye elimu kuliko wote katika kuutaka urais tanzania,pili yeye ndo alofichua ufisadi wa mwanzo wakati huwo dr slaaa anasinzia bungeni tu,yeye ndo alofichua ufisadi ndege ya rais,na fisadi wa ubalozi wa italy,ambao mwenyekiti mstaafu wa chadema bob makani ndo anamtetea mtuhumiwa,pia ishu ya rada ni matunda ya lipumba,wapinzani plz muungeni mkono twende ikulu
ReplyDeleteNi kweli Prof Lipumba ana haki ya kikatiba kugombea - lakini ni kweli yuko serious? Hii ni mara ya ngapi? Je, katika chama chake kweli hawana mtu mwingine ambaye ana sifa za kugombea urais? Hapa ndipo kambi ya upinzani nayo inapoonekana kuwa na yale yale ya nambari wani! inakatisha tamaa - lakini tunamtakia kila la heri.
ReplyDeleteAsiyekubali kushindwa si mshindani. Profesa Ibrahim Limpumba na Seif sharif Hamad, fuateni nyayo za akina Freeman Mbowe na Augustino Lyatonga Mrema ili heshima yenu iendelee kudumu mbele ya jamii ya watanzania.
ReplyDeleteyaani huyu jamaa anadidimiza upinzani kwa vile wananchi wanoana kuwa hakuna demekrasia kwenye upinzani na kwa hiyo hawawezi kuleta demokrasia na kwa hiyo hawawezi kuleta maendeleo.
ReplyDeletesijui kama kweli chama hakina mtu mwingine zaidi yake wa kugombea. na kama hakuna basi hakifai kuitwa chama.
Hawa CUF sasa wana-bore. Kila uchaguzi Lipumba na Seif. Hawana jipya hawa.
ReplyDeleteKiongozi gani asiyeweza kuandaa viongozi wengine? Miaka yote hii ni safari binafsi ya kutaka kwenda ikulu! Yeye tu kweli? Aibu sana, tena zaidi kwa prof. mzima.
ReplyDeleteViongozi wa hivi ndio dictators! Akiingia huyo sahau kama atatoka, kina Omari Bongo...ndio hawa.
Sababu moja wapo ya africa kutokuendelea ni ubinafsi. Huu ni ubinafsi wa wazi kabisa. Na kama tunatafuta viongozi wa kutuendeleza, tuangalie upya, sio Lipumba wala Seif
Tumemchoka ana mpya, ana uchu wa madaraka kwa nini asiwaachie wenzie wajaribu kama walivyofanya TLP na Chadema
ReplyDeleteTUMEWACCHOKA.HAMNA JIPYA.
ReplyDeleteKILA MWKA NYE TU.
CUF HAKUNA WENGINE.
MUIGE MBOWE.
ACHA UJINGA
Lipumba umedanganywa na Makamba.
ReplyDeleteTumeshakuchoka.
Kama uko timamu muunge mkono SLAH.
CUF tutoleeni vichaa wenu.
ReplyDeleteKama hamna wagombea wengine futeni hicho chama kisijekuwa genge la wahuni.
Mmetumwa na CCM nyie.
ReplyDeleteHamumuwezi dr.SLAH.
Hiyo ndio wazungu wanaita divide and rule,kadri wapizani watavyo simamisha wagobea wengi ndio CCM itakavyo peta na kushinda kirahisi.Hawa jamaa wa upizani ilitakiwa wakubaliane na wa simamishe MGOMBEA MMOJA WA KITI CHA URAISI.Mfano mzuri ni hapo Kenya Oginga Kibaki na wengineo waliachilia mbali siasa za kibnafsi na matunda yameonekana,Walimtoa MOI na KANU yake.Sisi tulichoshwa na CCM tutafurahi kama kwa mfano tukasikia prof Lipumba amekubali kuwa Mgombea wenza wa Dr Slaa.
ReplyDeleteCUF,TLP na CCM lenu moja.
ReplyDeleteMungu mpiganie SLAH.
CUF sasa mnachefua.
ReplyDeletehamna jipya.
Ndio makubaliano na CCM haya?
ReplyDeleteTusaidieni kumuangusha SLAH tutagawana madaraka ZANZIBAR.
Mimi nadhani Prof Angekubaliana na usemi usemao nabii hakubaliki nyumbani aachane na mambo ya urais hii nchi watu wana vichwa vigmu hata ukiweka jiwe ulipake rangi ya njano na kijani litachaguliwa lenyewe,watu wanaangalia chama hawaangalii utekelezaji na sera za chama.Prof nakushauri 2015 mungu akitupa uzima njoo nyumbani huku kwenu jimbo la uyui upiganie mkoa wetu wa Tabora,mpaka karne hii mkoa wetu hauna rami yakuunganisha na mkoa mwingine yote hii ni kwasababu wabunge wote ni wa chama tawala.Noo huku Prof utunasue kutoka katika matatizo haya yakudumu.Tumechoka na porojo za ccm.
ReplyDeleteBILA UPINZANI KUM-SURPPOT Dr Slaa, siasa za bongo zina BORE. Huyo Lipumba
ReplyDeleteamejaribu kwa mtindo huu wa wagombea wengi ameshindwa TWO TIMES.Hatasisi wapiga kura tuna-mwona hayupo serious.Wanachama wa CCM hawaundi population kubwa ya wapiga kura,kwaiyo mkakati wa upinzani uwe kupata kura nyingi iwe-zekanavyo za wasio wana CCM.BILA KUWA NA MGOMBEA MMOJA KUTOKA UPINZANI ITAKUWA NI MAMBO YALE-YALE YA DIVIDE AND RULE,the ruler is CCM.CCM ita-zidi kupeta kiulani.Hata USA wana vyama viwili sikumoja tutafikia huko.Nafikiri hiyo iwe katika ajenda ya marekebisho ya katiba, tuwe na vyama viwili tuu then wangobea binafsi waruhusiwe.
kil;a siku nyie tu mumetuchosha sana
ReplyDeleteCUF OYEEE:
ReplyDeleteChamaaa chama gani chama cha wananchi CUF.
Hao ndio wapinzani wa kweli wanaojali masrahi ya upinzani. Vyama kuungana au kusimamisha mgombea mmoja ni mpaka sera zao ziwe zinaendana. sasa sera za Chadema haziwezi kumvutia profesa anayeheshimika duniani kama Prof. Lipumba.
Rais wa Ghana wa sasa kagombea uraisi mara nne, tatu zote za mwanzo alishindwa na ya nne ndio akashinda sasa nyie wenye chuki chukieni lakini kura zetu sisi wenye ufahamu wa kutosha ni kwa prof pekeee.
Mbona hapa sijasikia mtu analia udini? au mambo hayo yansemwa upande mmoja tu ?
ReplyDeleteWE ANONY WA Fri Aug 06, 08:17:00 AM
ReplyDelete"Lipumba umedanganywa na Makamba.
Tumeshakuchoka.
Kama uko timamu muunge mkono SLAH."
VICHAA PEKE YAO NDIO WANAOMUUNGA MKONO DR. SLAA. KAMA UNAMUUNGA MKONO DR. SLAA UJUE WEWE SI TIMAMU
we anony wa Fri Aug 06, 08:51:00 AM
ReplyDeleteSISI WAPINZANI HATUMTAKI HUYO DR. SLAA WAKO. KILA CHAMA KINA HAKI YA KUWEKA MGOMBEA WAKE NDIO MAANA KUNA VYAMA VINGI. NA KILA CHAMA KINA MTAZAMO WAKE.
UTAMUUNGA VIPI MKONO DR. SLAA WAKATI CHAMA CHAO KINA TUKANA VYAMA VINGINE? HAWAJACHUKUA NCHI WAMESHAANZA KUTUKANA WATU HADHARANI KAMA WALIVYO FANYA KWA MREMA JE WAKICHUKUA NCHI?
SISI WENYE BUSURA TUNATATHIMINI WATU KUTOKANA NA WANAYOYAFANYA NA KUYASEMA.
Santuri ya zamani hiyo, ilishapinda.
ReplyDeleteChadema tumbo joto, lol! eti Lipumba amsapoti Dr Slaa kwanini isiwe Dr Slaa amsapoti Lipumba?
ReplyDeleteKwanza CUF HAIJAPEWA MILIONI 100 NA CCM KUSIMAMISHA MGOMBEA URAIS KAMA WALIVYOPEWA CHADEMA!
Pili chadema wamekuwa kila siku wakikiuka makubaliano na vyama vingine kwa sababu ya uroho na ubinafsi.
Tatu JK huyoo anapeta tena kwa Kishindo, ndoto ya Slaa kwenda IKULU hiyoo imeyeyuka! imekula kwenu hiyoooo bora angebaki Bungeni, labda asubiri huruma ya JK amteue kuwa Mbunge kama alivyomteua yule Mbunge kutoka Zanzibar otherwise huo ndio mwisho wake Bungeni maana 2015 ni Bunge la vijana tu wazee watakuwa wakuhesabu!
Anoy wa kwanza umenena. Mara nyingi CUF huwa haipewi publicity kwenye chaguzi zote. CHADEMA wanapolalamika kuwa eti hawapewi publicity mie nashangaa sana.
ReplyDeleteIla semeni msemavyo CUF inawafuasi wengi mno overall, ndio maana jamaa zetu wameanzia kwenye mizizi ya chama ( Kaskazini) ili waweze kudraw publicity. Kwanini wasieenda kuanza Tanga kutafuta hao wadhamini.
Profesa Lipumba huna mpinzani..na hakuna mpinzani wakweli kuliko CUF..wewe umeshawahi kutiwa ndani, kupigwa, kuzuiwa na polisi usiafnye mikutano na sio wenginewe.
Michuzi usibanie hizi cimments. Ni ukweli.
Nyie wana mgambo wa kichaga acheni zenu hizo. Huwezi kumfananisha Prof Lipumba na huyo padri wenu mwenye sera za kufyatua mabomu tu bila ya kuwa na alternative policies. Urais ni zaidi ya kupayuka mwembe yanga. Kama ni vita ya ufisadi Lipumba ali anza kusema zamani sana kuhusu Rada, ndege ya rais, ubinfsishaji wa Kilimanajaro airport, mafao ya wazee wa afrika mashariki nk. Lakini kwa ubinafsi wa vyombo mlivyo hodhi vya habari hakukuwa na coverage. Nani asiejua CUF wanafanya mkutano wanajaza viwanja vya jangwani lakini kesho yake hakuna hata chombo kimja cha habari kina ripoti hiyo kitu. Mtaula kwa chuya Lipumba kanyaga twende ng'wanawane
ReplyDeleteKweli wachangaiaji hapo juu walio wengi hatuna mitazamo ya kisiasa. Kila mmoja hoo Slaa, ndiyo kusema wengine hawana haki ya kikatiba kugombea? Hebu muwaache watu watimize haki zao za kikatiba. Kama mnalazimisha mgombea mmoja tu basi tumpitishe Slaa kuwa Rais moja kwa moja hata hakuna haja ya kuwa uchaguzi wa rais na wabunge. Kama ni hivyo basi vyama vingine vya siasa vifutwe na visifanye siasa kabisa. Kwa maana hiyo basi kama kila chama kilichosajiliwa kisheria kina haki ya kusimamisha mgombea then shida iko wapi sasa? Naomba tuwaache watu wagombee na wapiga kura wataamua nani wanamuhitaji. Kama ni Slaa basi watu si watampigia na atakuwa rais. Sasa shida iko wapi?.
ReplyDeleteMdau
HUU UPUUZI MTUPU!!
ReplyDeleteLIPUMBA HAUCHOKII, MBONA UNAKOSA USTAARABU, HUO UBINAFSI HATA UKIINGIA IKULU SI UTAGEUZA KATIBA UBAKI HUMO HUMO MILELE ??
HEBU ACHENI KUTUDANGANYA NA U-DDM WENU WENU!!...MWAKA HUU..HATUDANGANYIKII!!
NOW, THY'S NO ONE TO COMPETE WITH DK SLAA!!
DK SLAA, OYEEEEEEEEEEEEE!!!
JAMANI PROFESA LIPUMBA NAOMBA UPUMZIKE USIGOMBEE TENA URAIS.NAOMBA PROFESA LIPUMBA UFUATE NYAYO ZA MREMA NA MBOWE UKUBALI KUWA WATANZANIA HAWAKUTAKI.
ReplyDeleteWEWE FIKIRIA UCHAGUZI WA 2005 CUF HAWAKUPATA MBUNGE BARA.MIMI NILIDHANI MIAKA HII MITANO CUF WANGEJENGA CHAMA NDANI YA TZ-BARA LAKINI WALIKAA TU WAKISUBIRI UCHAGUZI WAGOMBEE.
PROFESA LIPUMBA UMESHINDWA MARA TATU 1995,2000 NA 2005 INGEKUWA VYEMA MWAKA HUU USINGEGOMBEA UKAWAACHIA WENGINE,HUNA MVUTO
umu ndani bwana?!!
ReplyDeleteacha tu
ukitaka kuwa mwendawazimu jiunge au fatilia siasa uongozi wa nchi za afrika unakuwa ushapangwa kabla ya uchaguzi sasa nyie umizeni vichwa kwa upuuzi
ReplyDeletebulshit................
aende zake na yeye huyu bana tumemchoka. kazi yake kuvizia ruzuku tu!! Tanzania ina watu M40 sasa kila siku yeye tu. tunataka sura mpya na makin km Dr. Slaa
ReplyDeletehao wanosema lipumba asigombee wana vichaa kweli? HAYA MARA NGAPI AMEGOMBEA? KUTOKA 95-00-05 NA 10 SASA KUNA SHIDA HAPO HIYO SI NUSU TU YA KIKWETE? BASI NA KIKWETE AACHIE NGAZI? MBONA HAMSEMI KINA BILAL NA WAO MARA NGAPI WAMENG'ANG'ANIA URAIS ZANZIBAR? NYIE MIJINGA KWELI TOFAUTI YA KUWA MADARAKANI SI SAWA NA KUWA MADARAKANI INGEKUA YUPO MADARAKANI NI KWELI LAKINI ANAGOMBEA NA KAPITISHWA KWA RIDHAA YA WANACHAMA-AU MNATAKA CUF IPATE MAPANDE KAMA CCM KWA KILA MTU KUTAKA KUGOMBEA UONGOZI? NAWAUNGA MKONO NA TUPO NAO HATA MARA MILIONI
ReplyDeleteWapinzani lazima tuelewe adui ni CCM na siyo CHADEMA, CUF, NCCR na kadhalika.Lengo letu liwe ni ku-itoa CCM madarakani.Hakuna haja ya ku-unganisha vyama kinachotakiwa ni ku-msapoti mngombea mmoja kutoka upinzani then tunaweza tukafanya makubaliano sisi kwa sisi njinsi ya kugawana madaraka tukisha mtoa huyo CCM.
ReplyDeleteHUYO LIPUMBA ni sawa na mwanasesere asiye pambika .
hivi nyie chadema mnadhani urais ni jamii forum,lipumba ni noma,dr slaa hawezi fika hata robo ya kura za lipumba.
ReplyDeletePadre Slaa Nenda, Nenda kwenda mwana kwenda kwenda. Wapi? To where you deserve to be. WHere? In the annals of history. Where is that? In the political oblivion.
ReplyDeleteSwala kubwa hapa ni kujipanga na kuitoa CCM madarakani,and nothing-else,
ReplyDeleteunless we put that in our mind then tutaweza ku-uchilia mbali siasa za kibinafsi.Na kumsapoti mgombea mmoja kutoka kambi ya upinzani.
Wapinzani Oooyeeeee!!!!!
CCM chini chini chini Kabisa.
HAWA WATU WENGINE BANA WNASHANGAZA KWELI KWELI HIVI AMUIGE MREMA AMBAYE ALISEMA CCM HAWAWEZI THS WHY UPINZANI BARA HAUNA NGUVU CZ WATANGANYIKA WANADANGIKA KIRAHISI NA NDIO MAANA CUF HAITAKI KUMUWEKA MGOMBEA MWENGINE ZAIDI ASIETOKA CUF KWA KUOGOPA HAYA HAYA KUNUNULIWA HIVI MTU ASIEKUWA MWANACHAMA ATOE MILIONI KADHAA BUREE TU AUSAPOTI UPINZANI HAO CHADEMA MNAOWASEMA WAMESHANUNULIWA HAKUNA LOLOTE....BIG UP LIPUMBA ENDELEA KUGOMBEA TU MPAKA UINGIE IKULU...INSH....
ReplyDeleteWachangiaji wa blog hii we acha tu.
ReplyDeletekuna mambumbumbu 60%
kuna wenye uwezo wa wastani 30%
kuna vichwa 10%
Ila si shangai kwani wengi wao ni wabeba box ambao waliuondoka nchini na elimu ya darasa la saba au Div 0 ya form 4 au div 0 ya form 6
NCHI YETU HAINA DINI NA HATUKO TAYARI KUCHAGUA KIONGOZI WA DINI KUWA RAISI.
Aaaah.. mambo ya kusaka ruzuku hayo.. si mchezo, njaa mbaya..
ReplyDeleteKusema ule ukweli jamaa kiasi fulani walijisahau.
ReplyDeleteKwa miaka mitano iliyopita CUF pamoja na umaarufu wao wa Zenj hawajafanya jitihada zozote kukijenga chama chao kwa upande wa bara.
Jamani kama sio kuchekesha, hivi CUF wanategemea kupata ushindi gani bara?
CUF hawagombei bara, wanagombea Zanzibar na Jamuhuri ya mungano ya Tanzania. Bungeni hawahesabu wabunge kuwa hawa ni wa bara hawa ni wazanzibar. wanahesabu wenye wabunge wengi tu.
ReplyDeleteWe anony wa Fri Aug 06, 05:31:00 PM
ReplyDeleteumekosea takwimu ni.
kuna mambumbumbu 75%
kuna wenye uwezo wa wastani 20%
kuna vichwa 5%
Sababu
1. watu hawakumaliza shule za msingi wakazamia ughaibuni
2. wana div 0 form 4 au form 6
3. walinunua mitihani ili kufaulu
kweli nimejua kwanini CCM inashinda na itashinda milele. kama wachambuzi ndo hawa wanaochambua uwezo wa wenzao wakati wenyewe hawajijui. au kwa vile wakitoa pumba wanashangiliwa wanajiona wapo fiti. poleni sana.
ReplyDeletenawashauri muache matusi na kufikiria mambo ya maendeleo. kwa wapenda siasa tafuteni namna ya kushinda na wala sio matusi. kama hamna la kusema kaeni kimya. acheni hasira.
PIGENI KELELE ZOOOOOTEEEEEE MUWEZAZO LAKINI CCM KWANZA HOYEEEEEEEEE NA PILI LAZIMA WAPETE............WENGINE WANAJIKONGOJA MDOGO MDOGO
ReplyDelete***************THE END***************
Poleni Wadanganyika na Watunzania.
ReplyDeleteHivi suala ni kubadilisha CCM au kubadilisha mambo ili yaende vema.
Mbowe alipokamata madaraka na kutaka kugombea uraisi kwenye hicho chama cha CHADEMA aliulizwa kuhusu kuungana na vyama vingine akasema yupo tayari ilia siyo kuungana na chama ambacho kina harufu ya UDINI(CUF).Aliyasema hayo baada ya kuvimbishwa vichwa na vyombo vya habari na helkopta.
Wakati uchaguzi unaendelea ikawa hakuna mtu kama yeye kwa bahati mbaya alishindwa kupata hata nafasi ya pili wapambe na wachambuzi wote kimya.
Leo kaja huyu Dr.Slaa(ambaye kwa ukweli CV yake sioni cha kunishawishi wachilia mbali kwamba napata ukakasi kumuita DR.) ambaye aliingia upinzani kwasababu alishindwa kutangulizwa na CCM kwanye kura za maoni.
Leo ancheza peke yake huku akisidiwa na vyombo vya habari na wanataka watu tushawishike kwamba hakuna kama yeye.
Ninachoweza kusema kama uchaguzi uliopita alipata 50.6% ambayo ni watu 34,795 ninawasiwasi sana kama atapata hata zile alizozipata Mbowe.
Ukiangalia kwa kina kidogo CUF inalaumiwa kwa kutakuwa na mbunge bara lakini hakuna anayelaumu CHADEMA kutakuwa hata na mwenyekiti wa mtaa Zanzibar huu ni UBALAKALA.
Wataalamu wanasema huu ni mpango ulitayarishwa vema ili kusaidia pindipo CCM ikidodoka basi iangukie CCM B(CHADEMA?) na siyo kwa wapinzani wa kweli CUF.
Hiyo ndiyo CHADEMA na inayosifiwa kila kukicha huku ikipenyezewa nyaraka za serikali kisha msoms nyaraka hizo anasifiwa! Kweli duniani kuna mambo.
Kwa kumalizia ndugu zangu naomba mnambie hasa ile vurugu mechi na sura ya chama hiki katika uteuzi wa viti maalumu,mgogoro na Zito Kabwe kutaka Uwenyekiti,kifo cha Wangwe nk.
Hili la kwamba Dr.Slaa katumwa na kanisa baada ya kusemwa kuwa Kikwete ana NDIMI MBILI na Kadinali Pengo na pengine siyo tena chaguo la Mungu tuliweke pembeni kwanza.
Naomba kuwakilisha kwa muda.