Waooooo...waaaaoooo...Ndivyo wanavyoonekana kusema Profesa Mwakyusa (shoto) na Bw. Richard Kasesela walipokutana leo mjini Tunduma wakati wa mkutano wa kampeni wa JK. Waheshimiwa hawa walichuiana vikali kwenye kura za maoni katika jimbo la Rungwe Mashariki ambapo Profesa Mwakyusa ndiye aliyeibuka kidedea.
Profesa Mwakyusa na Bw. Kasesela wakikumbatiana kwa furaha
".....Hongera sana mheshimiwa, sasa kazi iliyobaki ni kuunganisha nguvu na kuzoa kura zote za ndio Rungwe Mashariki..." anasema Bw. Kasesela

Hivi Kasesela aka Bibo na wewe ni muheshimiwa now a days? kweli siasa sii hasa huko kwetu. Yaani kabisaaa! umeona hapo ndio pako!
ReplyDeleteJaribu tena wakati mwingine amanjoo upambane na mabox huku kwa watu bado una nguvu sana. JK alisha kuona na kama kukutoa angeisha kuoa Long time. Kumbuka kilichotokea wakati mkiwa ziarani huku Marekani.
Hakuna kiongozi hapo,naona wote vimeo tu.
ReplyDeleteMICHUZI MBONA HABARI ZA CHADEMA UMEZIWEKA KANDO? KUMBUKA HII BLOG MIMI NINAITEGEMEA SANA KWA HABARI ZA VYAMA VYOTE KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI, USISIEM WAKO USITUKWAZE BWANA.
ReplyDeleteUNAPOPANDA NDEGE BURE UNATAKIWA ULIPE FADHILA.
ReplyDelete