Naomba nifikishie ujumbe huu kwa wadau wote wa www.wavuti.com kuwa upo usumbufu kidogo uliojitokeza kutokana na marekebisho madogo ya kiufundi yanayofanyika nje ya uwezo wa mmiliki wa tovuti. Tunawaomba watu wote watumie anwani hii wavuti.weebly.com kwa muda huu.
Tunatarajia kila kitu kurudi 'mstarini' ndani ya siku 3.
Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza.
SubiAdmin - wavuti.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Shukrani Ankal kwa kunipa nafasi katika blogu yako ili kufikisha ujumbe/taarifa hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...