Mwenyekiti wa CUF na mgombea urais wa chama hicho cha wananchi Profesa Ibrahim Lipumba akisalimia wanachama wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni katika viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar
Profesa Lipumba akisalimiana na Mh. Hamad mmojawa wanachama na viongozi waandamizi wa CUF





Kaka Michu shukran kwa kutukumbuka wana CUF tunaomba uendelee na moyo huo huo.
ReplyDeleteHilo nyomi hapo juu si la kawaida mwaka huu CCM wameshikwa pabaya
safi misupu kakutupa wana cuf haki yetu ya kujidai kwenye blog ya jamii
ReplyDeletete!te!ras makunja naona leo una kofia nyeusi na bila ya gitaa mkononi kweli unapenda amani
ReplyDeletechama kikuu cha upinzani tanzania hicho,na ni chama kinachoongoza kwa ustaarabu,wao wanamwaga sera ,hakuna propaganda za vijiweni kama vyama vyengine.
ReplyDeleteHicho ndiocho chama chenye ilana inayowalenga wananchi haswaa.
ReplyDeleteHAKI SAWA KWA WOTE
Hiki chama kukanyaga ikulu, labda mtume issa ashuke, hakuna chama dhaifu kama hiki, Badala ya kwenda kugombea ubunge tabora, aje awatetee wanachi wa tabora na kanda ya magharibi kwa ujumla anakalia kugombea uraisi.
ReplyDeleteHii ni mara ya ngapi anagombea? Hivi hana washauri.
Siasa bwana ati leo CUF-Bara chama cha kistaarabu CUF-Visiwani chama cha vurugu ukiuliza vurugu gani utaambiwa kina nguvu Pemba. Nyie mliopindua boti kule mkauwa watanzania hadi wengine kukimbilia ukimbizini Kenya sio wana vurugu?
ReplyDeleteUkiwakuta barabarani utakuta wanasema mwenyekiti wetu msomi hivi usomi wake unamsaidia kweli manake hapati wabunge bara haimarishi chama bara kwani anajua haiwezekani kwasababu kimejawa udini na ukiritimba, Tangu kina Mapalala hawana sera. wataishjia kusema haki sawa kwa wote badala ya haki kwa waislam
ReplyDelete