Bango linalotangaza Tanzania kwenye mechi ya wikiendi ilopita kati ya Blackburn Rovers na Everton katika uwanja wa Ewood Park ambapo Blackburn walishinda bao 1-0
Tanzania imeingia kwa kishindo katika soko la kujitangaza kwenye viwanja vya mpira wa miguu nchini Uingereza kwenye ligi inayotambulika zaidi ulimwenguni ya Barclays Premier League, na kuifanya kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufanya hivyo kwenye level hiyo.
ANGALIZO: BOFYA MISHALE KATIKA VIDEO
ZILIZOAMBATANISHWA UONE MABANGO
HAYO YANAVYOKUWA UWANJANI
Mdau Hans

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Baba UbayaAugust 17, 2010

    tutashukuru zaidi kama nchi inatangazwa kwa manufaa ya wananchi.maybe ndo wanataka kuiuza jumla.
    Mungu Baridi TZ!!!

    ReplyDelete
  2. wakati TZ inakurupuka kutangaza mlima kilimanjaro ambao wakenya walishautangaza sana na wanachukua wageni kwa kwenda mbele, hao hao watani wa Jadi wapo kwenye level nyingine..sasa hivi ni ya kutangaza chai yao kwani ukiwa hapa Ukerewe ukanunua majani ya chai ya PG tips,unakutana na tangazo la kujishindia trip ya kwenda Kenya kunywa quality tea..sasa basi na sisi tukimbizane nao kwenye vitu vingine na sio tu mlima kilimanjaro ambao kwa sasa asilimia kubwa ya watu wa ukerewe wanajua upo Tanzania kutokana na wale celebrities waliokwisha upanda..kama mtakumbuka kina Cheryl Cole,Alesha Dickson etc..

    ReplyDelete
  3. Huu ni ukoloni. Zanzibar is in Zanzibar, kamwe haipo Tanzania. Pumba tupu.

    ReplyDelete
  4. sometimes we (brand tanzania) have really good ideas, but we get things wrong is how we execute those ideas into products.

    how on earth can you advertise a website which is not accessible.

    hiyo visit-tanzania.co.tz haipatikani online, kama ni kweli hayo matangazo yapo, basi aliyehusika ni wale wale wa kila siku - wababaishaji ingawa wako karibu na "wazee".

    ReplyDelete
  5. I am very impressed on the steps taken by tourist board or whoever participated on advertising. Many Journalists here in UK still confuses on true location of Kilimanjaro Mt. i.e Kenya or Tanzania? On May this year one writer of The Sun (among popular newspaper in UK) reported Kilimanjaro location to be in Kenya, I was very angry.

    Since last year, when Cheryl Cole/Tweddy and other celebrities went to climb the mountain on their campaign against Malaria (red nose Week here in UK, it was a real an eye opener to most of people here in UK. Cheryl Cole was on top of Charts around UK and most favourite and darling woman to Brits.

    For your information, the former captains of 'The Brains' The Wales National Rugby team are coming to Bongo end of this month or earl next month to Conquer Mt kilimanharo on their mission to donate to cancer research.

    The effort to bring celebrities to TZ is real paying. I would suggest to whoever responsible for this should try also to bring Simon Cowell to TZ. The Man is so popular now in UK and USA. Young white Generation they don care where UK's Prime Minister or US president gone or do, but they always knows where figure like Simon Cowell is and what is doing. the focus of this generation is on reality TV shows than politics and economy

    ReplyDelete
  6. Mtoa Maoni wa Pili, Mashamba ya Chai ya Kenya umiliki wake ni tofauti na hifadhi zetu na mlima kilimanjaro. Inabidi uwashauri Unilever au Broke bond ambao nadhani ndio wamiliki wa Mashamba ya Chai Tz kwa sasa kujitutumua kama wamiliki wa Kenya na sio Serikali. Watu wanapoanza kuamka inabidi uwape moyo sio kila siku kupiga madongo tu.

    ReplyDelete
  7. PRETTY GOOD,,,KEEP T UP TTB,,

    ReplyDelete
  8. Siku zote watu wenye frustrations huwa kikombe chao kiko half empty kila siku na kamwe hakiwezi kuwa halfu full!

    Wasipotangaza hawatangazi, wakitangaza ooh wanatangaza!

    ReplyDelete
  9. WEBSITE ILIYO HEWANI NI

    www.visittanzania.co.uk na

    wala si

    www.visit-tanzania.co.tz(Hii anuani hai exists).

    Kwa hiyo huyo aliyepeleka tangazo alibuni tu address ya kwake.Kweli chi yetu Tanzania ina mambumbumbu.

    Mdau wa ICT.The Netherlands

    ReplyDelete
  10. Hakuna kinachokera kama kweli wewe ni mzalendo au upo makini unaishia tuu kukosoa bila kutoa njia mbadala, usiishie tuu kukosoa, pia toa maoni ambayo yatasaidia na sio kujifanya unajua sana kuona makosa wakati wewe mwenyewe hujui cha kufanya, huo ni ushamba! Kama unajua cha kufanya, kosoa na eleza kifanyike kipi...ili kiwasaidie na wengine, otherwise, ni bora usiandike!

    ReplyDelete
  11. Watu wengine wapo mbele kukosoa tu hii ni hatua kubwa mbele wamefikia hongera jitahidini

    ReplyDelete
  12. Great Animal migration should have been written in plural form as Great Animals Migration. Those animals move in large groups when they are migrating.

    ReplyDelete
  13. tutafika tu siku na tutaamka sana tu
    annon #1 umeniwacha hoi ha ha

    asante kwa maelezo haya

    ReplyDelete
  14. Hao wanaosema kuwa mlima Kilimanjaro tayari unajulikana hapa UK kwa sababu ya sijui celebrities walioupanda, wanachemsha na hawajui mipaka ya haya matangazo. Kwa taarifa yenu matangazo haya hayajalinga UK tu bali sehemu zote duniani amboko hiyo miche ilionekana. Si mnajua ligi ya England inatazamwa karibu kila mahali duniani.

    Halafu issue nyingi, kuna watu wanaishi sehemu mbalimbali duniani ikiwemo UK hawajawahi kusikia kama kuna nchi inaitwa Tanzania na kama wamesikia basi hawajui iko sehemu gani.

    ReplyDelete
  15. Hivi hawa majuha wengine sijui wanatoka wapi/ halafu bila haya wala woga mtu anajitangaza ni mtaalamu wa ICT ansema web site ya taifa haifunguki umeingia

    www.tanzania.go.tz

    ikagoma kufunguka?
    mnatafuta sifa tu uonekane na wewe umecoment. anasema ingia eti www.visittanzania.co.uk na www.visit-tanzania.co.tz haya yote ndo madudu gani? eti mdau wa ITC

    ReplyDelete
  16. Sasa jamani. Wabongo lini tutakuwa accurate na kuwa na umakini katika vitu tunavyovifanya. Tumejitahidi kufikia kutangaza huko, cha kushangaza WEBSITE inayoonekana kwenye matangazo hayo HAIFUNGUKI. Sijaielewa hii!!

    ReplyDelete
  17. kukosoa lazima tukosoe huwezi kutangaza kitu amabacho hakipo website ilitakiwa iwepo kabla huja amua kuiweka kwenye tangazo huu ni ubabaishaji

    ReplyDelete
  18. watu humu mnajifanya mna hasira kisa waweka tangazo wamekosolewa.for your info,its called freedom of speech and everybody is entilted to their opinion.nyie kama hamna la kufanya zaidi ya kusubiri comments za watu ili muweke pumba zenu,get a life!!

    ReplyDelete
  19. Mdau wa Wed Aug 18, 10:19:00 AM, hiyo sentensi inategemea na kimombo cha wapi. Kwa Kimarekani Great Animal Migration ni sahihi, kwa KiBritish ni Great Animals Migration. Inategemea uko wapi..isije ikawa yale ya color ni wrong, lakini colour ni sahihi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...