Kikosi kabambe cha timu ya TASWA FC ya jijini Arusha katika picha ya pamoja wakati wa bonanza la michezo la waandishi huko A-Taun. Wa pili kulia waliosimama anaonekana Woinde Shizza wa Globu ya Jamii akiwakilisha wana libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mzee Mussa Juma ongeza juhudi ya mazoezi mdogo wangu, tumbo hilo shauri yako. Best wishes though. Berege

    ReplyDelete
  2. namuona nana mollel hapo mwenye koti jekundu akizidi kunenepa lakini nasikia kashakimbia kule radio five ya arusha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...