WAGOMBE WALIOJITOKEZA KUWANIA NAFASI YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KATIKA NAFASI YA UBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 31 KATIKA ZOEZI LA KURA ZA MAONI NDANI YA CHAMA HICHO LILILOFANYIKA JUMAPILI ILIYOPITA. TOKA SHOTO NI BW. ANDREW SEKAJINGOALIYEPATA KURA 100, DKT BATILDA BURIAN ALIYEPATA KURA 9,468 NA KUSHINDA NA ALOYCE KILIMBO ALIYEPATA KURA 163

TOKA SHOTO NI MBUNGE WA ARUSHA MJINI ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH. FELIX MREMA ALIYEPATA KURA 4,337, DK. HAMISI KIBOLA ALIYEPATA KURA 823 NA BW. DEOGRATIAS MTUI ALIYEPATA KURA 264.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hili jimbo lilikuwa liende kwa kibola.......

    ReplyDelete
  2. mdau wa kwanza kwa sababu alikupa kitu kidogo ndio maana ukigawe kwa wapiga kura, nao wakachukua na mwishoe wakampa kura wamtakae! Mtashangaa mwaka huu wanawake watakavyowagalagaza huko majimboni.

    Wanawake Oyee! Wewe cheki mahala pengi wanawake wamewaburuza kama gunia la mkaa!

    ReplyDelete
  3. Nakibaliana na huyu bwana kuwa watu wa Arusha wameshindwa kumchukua Dr Kibola kuwa mbunge wao. Ni mtu makini sana na sisi waandishi wa habari tunamjua kwa ndani sana. Ni mtu makini, asiyependa utani kwenye kazi na anayejua uongozi bora. Pia ni mtu anasaidia sana wenye shida.

    ReplyDelete
  4. Vijana bwana ndio watu wa Arusha walitakiwa waangalie.Dr.Burian ashakuwa kwenye system tayari tungetakiwa tuweke changamoto moyo toka kwa vijana wetu wasomi kama Michael Sekajingo..kijana mchapa kazi na hodari na ameweza kusimamia project kubwa za owner wa Impala kuwa very successfully.Hii tabia ya kuchagua watu wenye majina tayari ndio inayoturudisha nyuma

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Dr. Batilda.

    very smart, pleasant personality, experienced, highly educated, visionary, decent campaigner, respectful, need I say more?


    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...