Kijana ambaye alikataa kutaja jina lake wala sababu ya kufanya kioja hiki akiingia bar iliyopo jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Mico iliyotazamana na ofisi CCM na pikipiki yake yenye nambari za usajili T 907 BEG huku wateja wakiendela kupata vilaji na vitafunwa. Picha na Novatus Makunga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kamahawajaandika no bike allowed hana kosa. Miye aniharibie tu sakafu yangu nasue nipate bara ya pili...Hicho kipikipiki chake nakichukua kabisa.

    Bongo hamna sheria kila mtu anajifanyia atakalo....

    ReplyDelete
  2. Sasa akiicha nje siitaibiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...