Home
Unlabelled
timu ya taifa ya pool yajifua kujiandaa na mashindano ya dunia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii post ya kocha wa timu ya taifa Tanzania iliwekwa wazi kwa mtu ku-apply au ndiyo vile tena mambo ya kupigiana pande. Kwanini nasema hivyo?
ReplyDeleteMimi nimekuwa semi-pro wa snooker hapa London na nilikuwa najifunza kwenye Snooker iliyowatoa kama JImmy White na wengine wengi. Ila kwa sasa nimeachana nayo kutokan ana umri na box plus familia.
Sasa huyu jamaa ndiyo kocha wa taifa anafundisha BASIC SHOTS ZA POOL kwa sisi tunaojua lakini kweli nyie mshindwa hata kutambua uwezo wake KWELI? Kwanini nasema hivyo?
Kwanza naanzia kwenye mwili tazama jinsi body alignment na pool que very very poor. Tazama mkono wake kwanza amevaa glove pili tazama vidole vyake vilivyo kwenye pool table jinsi alivyo viweka hakuna stability ya ku-control que tip kuweza ku-hit que ball panapohitajika kwa shoti.
I have more to offer kwa wacheza snooker wa kitanzania kuliko hata huyo jamaa japokuwa sina certificates za kuweza kufundisha mchezo huo ila kwa kile nilijifunza mimi I can offer more than this dude what he is doing as shows on the picture.
Pool siyo kushika que na ku-hit que ball unaanzia mwili jinsi unavyosimama, jinsi ya ku-control pumzi, jinsi ya kushika que, then unakuja kwenye ku-hit que ball, after this shot what next ni akili sasa hapo inabidi ifanye kazi na mahesabu. Que ball contol na vingine vingi tu
ASHANTENI RAMADHANI NJEMA
MPIGA BOX UKEREWE HAPA