Ofisa Sheria wa Tume Shadrack Makongoro akimkabidhi baadhi ya nyaraka zilizofanyiwa kazi na Tume katibu tawala wa wilaya ya Kilosa Gilbert Maliwanga, katikati ni Ofisa Tawala Wilaya Prisca Shewali.
Wadau wa Sheria za Mila zinazofuata mkondo wa mama wakifuatilia vipengele vilivyokuwa vikipitiwa wakati wa kupitia rasimu ya Sheria za Mila zinazofuata mkondo wa mama wilayani Kilosa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...