Mkurugenzi Mwendeshaji wa NDC,Gideon Nasari akisisiti za jambo wakati wa kikao hicho.
Mdau Neema Mbuja (shoto) akiwa pamoja na Afisa uhusiano NDC.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa NDC, John Aswile (kulia) akiwa na Mwanasheria wao, Joyce Maselle wakati wa mkutano huo.
baadhi ya wajumbe wa baraza wakiwa wanasikiliza mkutanoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NDC SEMA TENA NDC HIVI HILI SHIRIKA MAMA BADO LIKO NA MBONA LIKO KIMYA JE LINAFANYA KAZI ZAKE KWA MAKUSUDIO YA MWALIMU NYERERE ALIVYO LIANZISHA AU NDIO NALO PAKUTAFUTIA PENSION.

    ReplyDelete
  2. Vipi Masele, nakuona classmate wangu!! naona Michu kakusafisheni sura vilivyo. Fagiliaa. saaaaanaaa!!!!!!!!!


    Nkyabo - Bongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...