TIMU ya taifa ya wanawake Twiga Stars ambayo imerejea juzi kutoka nchini Marekani imeweka mgomo baridi hadi hapo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), litakapowalipa posho zao. Habari kamili nenda MichuziPost
Home
Unlabelled
twiga stars katika mgomo baridi kwa kukosa posho?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nini tena hii SHAME on you TFF pesa zenyewe sht ngapi hadi muwaache kuwalipa watoto wa watu!! mnajali matumbo yenu tu hata hao wanamatuma wanaitaji kula na kulisha family zao!
ReplyDeletemdau
paris
Nilijua tu, hebu angalia idadi ya viongozi waliokwenda nao, hivi kulikuwa na haja ya wao wote kwenda? kama sio njia za kujipatia pesa? wizi mtupu?
ReplyDeleteMnaona matunda ya kutoa matongotongo. Watu wameenda majuu sijui siku ngapi tu wameona wenzao jinsi wanavyojua kudai haki zao kwa kutumia umoja...yay for that and way to go gals...sasa niambie wangekaa mwaka huko ingekuaje....
ReplyDeleteMsiwadekeze hao. Nyie mteseke halafu wao wanenepe kwa kutumia migongo yenu...Mpaka waseme hiyo posho yenu iko wapi au wameitumiaje lazima budget ilikuwapo sasa hela imeenda wapi???