TIMU ya taifa ya wanawake Twiga Stars ambayo imerejea juzi kutoka nchini Marekani imeweka mgomo baridi hadi hapo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), litakapowalipa posho zao. Habari kamili nenda MichuziPost

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nini tena hii SHAME on you TFF pesa zenyewe sht ngapi hadi muwaache kuwalipa watoto wa watu!! mnajali matumbo yenu tu hata hao wanamatuma wanaitaji kula na kulisha family zao!
    mdau
    paris

    ReplyDelete
  2. Nilijua tu, hebu angalia idadi ya viongozi waliokwenda nao, hivi kulikuwa na haja ya wao wote kwenda? kama sio njia za kujipatia pesa? wizi mtupu?

    ReplyDelete
  3. Mnaona matunda ya kutoa matongotongo. Watu wameenda majuu sijui siku ngapi tu wameona wenzao jinsi wanavyojua kudai haki zao kwa kutumia umoja...yay for that and way to go gals...sasa niambie wangekaa mwaka huko ingekuaje....

    Msiwadekeze hao. Nyie mteseke halafu wao wanenepe kwa kutumia migongo yenu...Mpaka waseme hiyo posho yenu iko wapi au wameitumiaje lazima budget ilikuwapo sasa hela imeenda wapi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...