Home
Unlabelled
uko maili ngapi toka mwanza?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Air distance, sio?
ReplyDeleteMichuzi umbali uliondikwa ni kweli? kwamba dar mwanza ni chini ya km 500? please correct them.
ReplyDeleteImenibidi kuingia mtandaoni kutafta tafsiri ya NM. na wikipedia wanatoa tafsiri hii!
ReplyDelete"The nautical mile (symbol M, NM, Nm or nmi) is a unit of length corresponding approximately to one minute of arc of latitude along any meridian"
Zaidi.
"The nautical mile remains in use by sea and air navigators worldwide because of its convenience when working with charts"
Hapo limewekwa kwa ajili ya nani? Kama ni akina sisi, si wangeliweka tu kwa KM?
Hayo mambo ya NM,sijui Miles!kuchanganyana tu,Wangeweka in KILOMETERS,(Km.)Ingekuwa imetulia zaidi.
ReplyDeletekumbe mwanza to dsm ni jirani hivo, only 465Miles ambazo ni sawa 744kms..kumbe kwetu iringa ni mbali zaidi ukitokea dsm ni 318 miles sawa na 510kms lakini ni ndani ya masaa5 hadi6 tu umefika dsm au iringa.nashangaa mwanza unatumia kutwa nzima na siku za nyuma ilikuwa lazima ulale ndo uingie dsm au mwanza..kwa hesabu zangu ilitakiwa mwanza to dsm itumike masaa7 hadi 8, kwa kuzingatia mlinganyo wa hapo juu
ReplyDeleteHII MPYA HII SASA KAMA DEREVA UTAONA VIPI?
ReplyDeletehiyo vibao viko sawa kwa vipimo kweli? ni miles au km
ReplyDeleteMiundombinu yetu bado iko nyuma. Naona Dar-Mwanza ni km 465 ambazo ni sawa na mile 291. Hiyo distance kwa hapa Marekani ni masaa 4 na nusu. Sie twatumia masaa 14. Duh...
ReplyDeleteIt is true!! kama kweli hizo distance ni za kweli basi tunahitaji tupitishe mabakuli ya kweli kweli tuweke miundo mbinu yetu kwa sawa...
ReplyDeleteMaengineer wetu muko wapi? yaani hizo distance sio za kufanya kusini na kaskazini kuwe mbali hivyo..Ni mwendo wa masaa kadhaa tu kutoka juu kwenda chini. Imebidi niangalie mara mbili mbili kama ni kweli mpaka Dodoma ni km 465.