
To Tanzanians and Friends,
On behalf of the family of Frank and Elizabeth Mwakasisi, I am deeply saddened to announce the death of Mrs. Elizabeth Mwakasisi that took place on Saturday, August 21, 2010 at Bronson Hospital, in Kalamazoo, Michigan, USA. Elizabeth was undergoing treatment for breast cancer at the time of her death.
Funeral arrangements are being made for Mrs. Elizabeth Mwakasisi to be laid to rest in Portage, Michigan, USA. A message will be sent out as soon as the date is finalized.
The memorial service that was tentatively scheduled for Saturday August 28, 2010 has been cancelled. Please pass this message about the cancellation to anybody you know was planning to attend.
The estimated cost of Funeral Home services, the funeral and a reception after the funeral is $18,000.00. We currently have $5,220.00 collected. To help raise funds to meet the challenge of $18,000.00, I urge every Tanzanian and friends of the Mwakasisi family to give generously to meet the goal of resting Elizabeth in peace. A target date of Friday September 2nd has been set to raise the balance of the funds.
An account has been opened to facilitate collection of the Memorial Fund. The account details are as follows:
Account Name: Elizabeth Mwakasisi
Bank name: JP Morgan Chase Bank
Bank Routing Number: 072000326
Bank Account: 905469870
Bank Location: Portage, Michigan
You can also send check or money order to:
Frank Mwakasisi
6484 Independence Dr.
Portage, MI 49024
For more information or updates, please contact any of the following family members:
1) Rev. Dr. Edwin Misigaro @ (309) 256-1254 or emisigaro@yahoo.com
2) Dr. Lennard Tenende @ (713) 540-6355 or lennard.tenende@cilicorp.com
3) Rev. Dr. Aba Mpesha @ (616) 717-2337 or abampesha@yahoo.com
4) Dr. Exaud Koka @ (630) 303-6585 or enkoka@yahoo.com
5) Rev. Dr. Norbert Mwitula (773) 886-2228 or mwitulan@yahoo.com
6) Apostle Robert Kagumba @ (269) 903-6465 or elikagumba@yahoo.com
You can reach the Mwakasisi family to comfort them after such a big loss of their loved one by email at frank@MightyOutreach.com or by phone at (269) 321-9900 or by snail mail at:
Frank Mwakasisi
6484 Independence Dr.
Portage, MI 49024
USA
Job 1:21 The LORD gave, and the LORD has taken away; blessed be the name of the LORD.
Job 13:15 - Though he slay me, yet will I trust in him.
Saul Mwakatapanya


KWANZA KABISA POLENI SANA NDUGU WAFIWA KWA MSIBA HUO.
ReplyDeletePili kwa maonini yangu kama mshika dau libenekeni nasema: ‘’Enyi watu na wanafamiliya ya Elizabeth Mwakasisi,UHIFADHINI(UZIKENI) mwili wa marehemu kwa kiasi mlicho nacho, maana popote pale katika dudia hii kiasi cha usd 5220 zinatosha kwa kuuhifadhi mwili, na masherehe na mambo yasiyo na lazima na yanayowezakuepukika pasina dhara yoyote msiyape nafasi.
MASHEREHE YANINI…? MWENZENU KAFA UHIFADHINI MWILI, leo yapata yasita tangu kifo kutokea, ndio mnasubiri mpate jumla ya180000.00usd sawa na takriban milioni shilling millioni27 za kitanzania ndio mumzike ndugu yenu…? Huku mkimuacha akisakatwana baridi ndani ya jokofu sikuzote hizo..? msifanye hivyo maana huyo marehe”engeliweza kunyanyua mdomo basi asingelikubali hayo na angesema :’’NIHIFADHINI AU NIZIKENI”.
ZINDGATIO: waswahili wasema”kila ndege huruka kwa ubawa wake” pia wanasema :”Mtu hujikuna ajipatapo’’
Haya yote yana maanisha kila mtu au family wanatofautianakiuwezo, wengine hufanya sherehe za harusizao kwa gharama KUBWA na wengine NDOGO kutokana na uwezo. Nihivyo hivyo katika MAZISHI.
usione makubwa mkapenda kuiga ilhali halili uwezo huna, sivyo hivyo….!!
Kwa nini mnataka kufanya mazishi ya gharama hivi na wakati fedha ni za shida jamani? Itamsaidia nani sasa?
ReplyDeletePoleni kwa msiba, pili poleni kwa kutokuwa na akili mtu akishakufa iliyobaki ni kuzikwa tu huko kumueka funeral home nikujitakia gharama za bure, itakayo msaidia marehemu ni amali yake tu sio maziko ya gharama na reception
ReplyDeleteKWANZA KABISA POLENI SANA NDUGU WAFIWA KWA MSIBA HUO.
ReplyDeletePili kwa maonini yangu kama mshika dau libenekeni nasema: ‘’Enyi watu na wanafamiliya ya Elizabeth Mwakasisi,UHIFADHINI(UZIKENI) mwili wa marehemu kwa kiasi mlicho nacho, maana popote pale katika dudia hii kiasi cha usd 5220 zinatosha kwa kuuhifadhi mwili, na masherehe na mambo yasiyo na lazima na yanayowezakuepukika pasina dhara yoyote msiyape nafasi.
MASHEREHE YANINI…? MWENZENU KAFA UHIFADHINI MWILI, leo yapata yasita tangu kifo kutokea, ndio mnasubiri mpate jumla ya18000.00usd sawa na takriban shilling millioni27 za kitanzania ndio mumzike ndugu yenu…? Huku mkimuacha akisakatwana baridi ndani ya jokofu sikuzote hizo..? msifanye hivyo maana huyo marehe”engeliweza kunyanyua mdomo basi asingelikubali hayo na angesema :’’NIHIFADHINI AU NIZIKENI”.
ZINDGATIO: waswahili wasema”kila ndege huruka kwa ubawa wake” pia wanasema :”Mtu hujikuna ajipatapo’’
Haya yote yana maanisha kila mtu au family wanatofautianakiuwezo, wengine hufanya sherehe za harusizao kwa gharama KUBWA na wengine NDOGO kutokana na uwezo WAO. Nihivyo hivyo katika MAZISHI.
usione makubwa mkapenda kuiga ilhali halili uwezo huna, sivyo hivyo….!!
..Africans will be POOR forever!!
ReplyDeleteThink twice you Africans!!
Kwanini mume wa marehemu hataki kufuat usia wa marehemu? hela hiyo inatosha kumfikisha huku na kuzika tena na chenchi itabaki kama alivyotaka marehemu. kwanini mnalazimisha kitu ambacho mwenyewe hakutaka jamani? mi napendekeza wosia wa marehemu uheshimiwe na aletwe tanzania azikwe kama alivyotaka. hela hizo zinatosha.
ReplyDeletePoleni na msiba, poleni sana. however, I also feel Mrs. should be laid to rest asap. You have already COLLECTED $5220 and still asking for MORE????? and for a reception AFTERWARDS????, you guys should be ashamed of yourselves. Poleni sana & SHAME on you.
ReplyDeleteEnyi ndugu wa marehemu uzeni vitu vyake ambavyo mnategemea mje kuvirithi maana kimfaacho mtu chake. Naungana na wadau hapo juu hiyo RECEPTION ya nini? Au huko Kanisani mpaka mlipie? Hamuwezi kwenda kanisa lolote mkawaambia kuwa tunahitaji nyumba ya ibada kwa ajili ya ibada ya marehemu? Nina uhakika hawawezi kukataa, kisha salini sala zenu, hizo pesa lipeni gharama za muhimu tu.
ReplyDeleteHivi huko Marekani hakuna masikini wanaozikwa kawaida tu, wanasaliwa kanisani wanapelekwa makaburini kuzikwa watu wanatawanyika. Nyie ndugu wachache mkitaka kulala matanga laleni sebuleni kwa marehemu, basi kuliko kila siku kuweka matangazo.
Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani. Amina.
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia.
ReplyDeleteIla mimi nimeshtuka sana,kumbe kufa ulaya gharama hivyo!Nawasii nduguzangu mlioko ughaibuni mkiona mnakaribia kufa rudini bongo.Hivi mmewahi kufikiria siku wakifa wabongo Ishirini kwa mpigo mtafanya nini?nani atachanga wapi?Poleni sana,hizo pesa hapa bongo zinatosha kulipia wanafunzi watatu elimu ya chuo kikuu na kuhitimu.
Poleni wanafamilia
KWANZA KABISA POLENI SANA NDUGU WAFIWA KWA MSIBA HUO.
ReplyDeletePili. Redio mbao zinasema kwamba marehemu aliacha wasia kwamba lazima akazikwe kwao Mbeya. Wadau sasa kama hivyo ni kweli, sijui imewakaaje? Mie naona imenikalia kushoto sana. Si kutiana umaskini na kukomoana huku. Haya, ndiyo mambo lakini. RIP
Mkienda Marekani kateni Burial Insurance Policy. Dola $42 kwa mwezi. Sasa nini hii kumweka mtu kwenye friji siku zote hizo. Kila siku anapokaa ndo gharama inaongezeka. Na badala ya delegation kwenda kusindikiza mwili waende watu wawili. Hela sasa hivi ni ngumu Marekani.
ReplyDeleteLORD HAVE MERCY ON US!
ReplyDeletePoleni sana wafiwa and please friends and Tanzanian's back off from this sensitive family issue, this is seriuos family matter not mkutano wa siasa, support family with prayers not too much blah blah, please our beloved Elizabeth need to be rest in peace, please please if you are not imediate family member then you need to back off leave family with air to concentrate
ReplyDeleteWatanzania akili zetu mbovu sana. Ukisema watasema hujaombwa uchange.
ReplyDeleteWatanzania akili zetu mbovu sana. Ukisema watasema hujaombwa uchange.
ReplyDeleteWatanzania akili zetu mbovu sana. Ukisema watasema hujaombwa uchange.
ReplyDeleteFrank Pole sana na yaliyowasibu huko ugenini.
ReplyDeleteWe Frank si yule kijana wa Engineering pale FOE miaka hiyo ya 80's.
Ingawaje si wakati wake kusema lakini ungekuwa hapa nyumbani kwa ukarimu wa Wanyakyusa hilo lisingekuwa tatizo kusafirisha.Kwa vile uko mbali nenda na uwezo wako usiingie madeni.
Ndaga.