Home
Unlabelled
wanted
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Teh teh!
ReplyDeleteNimeipenda hiyo, Chadema siku zote wapo creative, ccm nao wataiga kama walivyoiga kwenye helkopta na kuchangia kupitia sms!
Safi sana, Wakati wa mabadiliko ni sasa, AMUA!
Hapo ni sangoma na ndumba kwenda mbele. Ataongeza wateja wa dingi wake, si mnajua mambo fulani vile.....
ReplyDeleteBalaa Kubwa! Hili Tangazo linaonyesha umakini wa huyu kiongozi ni ZERO!
ReplyDeleteHuyu ni nduguyetu na wala hatuna wasiwasi nae mimi naitwa Julius suleman ninamkubali.
ReplyDeleteHassan hakuanzia hapa nilazima tumfahamu vizuri amekua akishiriki katyika mambo mengi ya au kichama ninamaana sio CHADEMA bali hata CCM kwa uapande wa kijamii ninamkubali sana siombaguzi hatakidogo nimtu wawatu wengi watakubakubaliana na mimi kuhusu hili.
Kuhusu diwani tulie kuwanae mimi naona alipofikia imetosha tumjaribu na huyu maana mbona hata Mheshimiwa Mzindakaya ameamua kupumzika mwenyewe huu sio wakati wa wazee tena tunataka vijana nduguzangu wa Kinondoni njooni tumpekura nduguyetu sikuhio ya uhaguzi CHADEMA mbele sana
Jamani anatafutwa tena kama vile mwizi!! Haya bwana haya mambo ya kampeni mwaka huu tutaona mengi. Maana hilo tangazo likiwa na red mark "WANTED" maana yake ni hatari. That means mgombea anatisha kwa either ubaya wake au uzuri wake. Nadhani tuyaangalie kwanza matangazo yetu kabla ya kuyatoa kwenye public for consumption!! Haya bwana mbele kwa mbele!!
ReplyDeleteMimi si mwanachadema lakini hii nimeipenda..! keep it up Chadema
ReplyDeleteUBUNIFU WA TANGAZO NIMEUPENDA, SI MBAYA AKIPATA NA KURA YANGU PIA.
ReplyDeleteAfafanue hio ajira ataitoa wapi.
ReplyDeletekwa kweli nimeipenda sana, binafsi simjui wala sijapata kumsikia lakini ubunifu huu nimeupenda sana, sijui alikaa akafikiri nini au nani alimshauri lakini vyovyote nimeikubali. Ujue kwenye kampeni ubunifu ni kitu cha kwanza, hii inaonyesha huyu jamaa anakuna kichwa na kwa vyovyote vile inadhihirisha kwamba uwezo wa kukuna kichwa anao...kazi iko kwa wapiga kura..
ReplyDeleteJapo kura yangu nitampa JK lakini kwa udiwani na ninavyoifahamu Dar na hasa mzimuni HASAN kura yangu unayo. Ya mbunge? Nitampa Azan
ReplyDeleteNatafakari tu kama bibi zangu kule vijijini wataelewa maana ya "WANTED."
ReplyDeleteWee hapo juu si umeona tangazo limeandikwa Anatafutwa? We kaa hapo tafakari wenzako wanaendelea
ReplyDeleteMimi nimependa sana hii inaonyesha jinsi alivyokaa akafikiri na kutengeneza kitu kitakachoweka attention.
Kwa mwendo huu tutafika. You go man....Go go go .....that is very creative...