Mkiwachagua wale wale mnaowachagua siku zote, mtasahauliwa vile vile wakati wote mambo mapya hutaka watu wapya, Nichague niwe mtumishi wako AMUA leo AMUA sasa, AMUA maana yake ni Afya, Maji, Uwajibikaji na Ajira.

Diwani mtarajiwa
Hassan Yahya Hussein


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Teh teh!
    Nimeipenda hiyo, Chadema siku zote wapo creative, ccm nao wataiga kama walivyoiga kwenye helkopta na kuchangia kupitia sms!

    Safi sana, Wakati wa mabadiliko ni sasa, AMUA!

    ReplyDelete
  2. Mume Wangu, Mikanjuni TangaAugust 21, 2010

    Hapo ni sangoma na ndumba kwenda mbele. Ataongeza wateja wa dingi wake, si mnajua mambo fulani vile.....

    ReplyDelete
  3. Balaa Kubwa! Hili Tangazo linaonyesha umakini wa huyu kiongozi ni ZERO!

    ReplyDelete
  4. Huyu ni nduguyetu na wala hatuna wasiwasi nae mimi naitwa Julius suleman ninamkubali.
    Hassan hakuanzia hapa nilazima tumfahamu vizuri amekua akishiriki katyika mambo mengi ya au kichama ninamaana sio CHADEMA bali hata CCM kwa uapande wa kijamii ninamkubali sana siombaguzi hatakidogo nimtu wawatu wengi watakubakubaliana na mimi kuhusu hili.
    Kuhusu diwani tulie kuwanae mimi naona alipofikia imetosha tumjaribu na huyu maana mbona hata Mheshimiwa Mzindakaya ameamua kupumzika mwenyewe huu sio wakati wa wazee tena tunataka vijana nduguzangu wa Kinondoni njooni tumpekura nduguyetu sikuhio ya uhaguzi CHADEMA mbele sana

    ReplyDelete
  5. Jamani anatafutwa tena kama vile mwizi!! Haya bwana haya mambo ya kampeni mwaka huu tutaona mengi. Maana hilo tangazo likiwa na red mark "WANTED" maana yake ni hatari. That means mgombea anatisha kwa either ubaya wake au uzuri wake. Nadhani tuyaangalie kwanza matangazo yetu kabla ya kuyatoa kwenye public for consumption!! Haya bwana mbele kwa mbele!!

    ReplyDelete
  6. Mimi si mwanachadema lakini hii nimeipenda..! keep it up Chadema

    ReplyDelete
  7. UBUNIFU WA TANGAZO NIMEUPENDA, SI MBAYA AKIPATA NA KURA YANGU PIA.

    ReplyDelete
  8. Afafanue hio ajira ataitoa wapi.

    ReplyDelete
  9. kwa kweli nimeipenda sana, binafsi simjui wala sijapata kumsikia lakini ubunifu huu nimeupenda sana, sijui alikaa akafikiri nini au nani alimshauri lakini vyovyote nimeikubali. Ujue kwenye kampeni ubunifu ni kitu cha kwanza, hii inaonyesha huyu jamaa anakuna kichwa na kwa vyovyote vile inadhihirisha kwamba uwezo wa kukuna kichwa anao...kazi iko kwa wapiga kura..

    ReplyDelete
  10. Japo kura yangu nitampa JK lakini kwa udiwani na ninavyoifahamu Dar na hasa mzimuni HASAN kura yangu unayo. Ya mbunge? Nitampa Azan

    ReplyDelete
  11. Natafakari tu kama bibi zangu kule vijijini wataelewa maana ya "WANTED."

    ReplyDelete
  12. Wee hapo juu si umeona tangazo limeandikwa Anatafutwa? We kaa hapo tafakari wenzako wanaendelea

    Mimi nimependa sana hii inaonyesha jinsi alivyokaa akafikiri na kutengeneza kitu kitakachoweka attention.

    Kwa mwendo huu tutafika. You go man....Go go go .....that is very creative...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...