Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Christopher Sayi(katikati) akielezea juu ya utekelezaji wa malengo ya Wizara yake Dar es salaam katika kipindi cha miaka mitano iliyopita ya Serikali ya Awamu ya Nne. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mbogo Futakamba(kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) Archarch Mutalemwa (kushoto).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Engineer huyo kichwa cha kufa mtu mchapakazi,mawaziri wangekuwa wanateuliwa tu sio lazima ubunge huyu number moja on my list.

    ReplyDelete
  2. Haya naona mmebanwa na CCM kuelezea kama ilani ya 2005 imetekelezeka wakati huu wa kampeni kuelekea Oktoba 2010, Sisiemu kwa mashambulizi huku na huku, sie tukiwa ktk ziara za mikoa kuomba udhamini(chadema) kelele nyiiingi!
    Mdau
    YanguMacho.

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu, kama wanashindwa kusambaza maji Dar watawezaje vijijini?

    Wezi watupu wafukuzwe kazi wote!

    ReplyDelete
  4. ETI WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI!!! EBU ONDOWENI HILO NENO LA UMWAGILIAJI, WAPI MNAMWAGILIA HADI MUWEKE WIZARA. IITWE WIZARA YA MAJI TU INATOSHA HATA KAMA KUNA UMWAGILIAJI!! AMBAO NADHANI AUPO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...